🇹🇿YOUTH SOLIDARITY
Specialized in Philosophy and Theology.Pure Reason and it's Relation with faith(truth).Founder of YS4S (youth solitary for self-reliance)
@EduTalkTz Huyu ni kama CAG wa pili. Mwenye kazi yake ni kwenda kuangaza utekelezaji wa miradi nchini actually ingepaswa miradi yote. Mwenye una maana kubwa sana katika taifa.
Katika malumbano ya hoja jana, nilieleza wanaosema Rais ametoa fedha ni wapotoshaji ,Rais hana fedha,fedha ni kodi za waTz
4R za Rais zimefeli ni lazima iongezwe R ya mwisho ambayo ni resistance ili wananchi waresist mfumuko wa bei,Hali ngumu ya maisha na Wizi wa mali za umma.
Today is my Daddy’s 88th birthday 🥰🥰
Happy birthday to my super Dad!
A great man with exceptional leadership skills!
Mungu ni mkubwa 🙏🏽 Miaka 88 ni baraka kubwa ❤️
Kaona mengi na ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa binti yake 🩷
Amen 🙏🏽
🚨🚨#Tanzania‼️
Mradi wa Be Better Tanzania (BBT) unatesa tu vijana tena wengine wamama wana watoto wachanga
Leo hii vijana wanalazimika kufanya kibarua kuuza karanga au kulima shamba jirani ili kuishi huku wameacha familia zao na hali mbaya!
@WizaraKilimo mnachofanya ni ukatili mkubwa mmepeleka wapi pesa za wafadhili!?
Cc @IFAD@AGRA_Africa@AfDB_Group
Apparently you have hundreds of millions of 💲yet the youth are suffering and no meaningful activity in Chingali project!
Follow the money 💵
#ChangeTanzania
Maandamano yamewasili viwanja vya Ruanda Nzovwe.
NB ;- Mbeya wamevunja record ya Dar es salaam na Mwanza.
Tunasubiri kuona kama Mhe. @godbless_lema na Team yake ya Arusha kama wataweza kuvunja hii record waliyoiweka watu wa Mbeya leo.