@HildaNewton21@ChangeTanzania@SuluhuSamia Alisema Askari pekee watakaokuwa barabarani ni JESHI la Polisi, na vyombo vingine vya usalama. Akaongeza kuwa watakuwa na "KAZI MAALUMU".
sasa tuwaulize hiyo kazi MAALUMU ni ipi? Na hivyo vyombo vingine vya usalama ni vipi?
@PMadeleka Ndugu @PMadeleka kwanini Hawa wasema ukweli hawausemi ukweli Kwa kipindi kinachotakiwa/muda sahihi? Wanakija kusema baada ya muda mwingine kupita, je huo sio unafiki??? Hii ni sawa na kutaka maridhiano baada ya Uchaguzi kupita.
@FeliusFesto@davitheempire Unaofanyika sasa ni mzaha. Tufanyie kazi mapendekezo ya tume zilizoongozwa na Jaji Nyaraki mpaka tume ya Warioba. Hiki ndicho kinatakiwa na si maneno matamu yaliyokosa vitendo au utekwlezaji
@Sativa255 Kinachofanyika ni kama kuwapotezea watanzania wasifocus na mambo yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya Uchaguzi. Kinachofuata n kuwasikiliza vijana halafu hakuna hata moja litakalofanyiwa kaz Rejea majadilianao yaliyokwishafanyika, rejea tume zilizokwiahafanyika. Huu ni mzaha.
@Sativa255 Ni sahihi, vifaa vimegawanywa katika mikoa tofauti na hii ilitokea baada ya jaribio la kumpindua JK Nyerere ndio wakaamua kuvitawanya.Tumesalitiwa na tuliowategemea (Jeshi la wananchi) Tujipange kivingine (japo wapo wachache walioumizwa) lakini haijasaidia maana watz wameuawa
@Mwabuk2Boniface Mr. President uko sahihi sana. Lakini je ushauri utazingatiwa?? Watu waliosema wao ni viziwi, je watasikia?? Watu waliosema atakayeandamana avunjwe vunjwe watakuwa tayari??
JWTz lilikuwa na wananchi lakin ghafla likawaacha. Hatupo salama katika nchi yetu. Tulipoishia tuanzie hapo
@Herculses Ikiwa alikataa kwanin asingeamuru hilo kontena lishikiliwe na JWT?
Kuliacha tu manake usalama wa nch upo mashakan, usalama wa raia ndio utakosekama kabisa!
Kuliacha ama amethibitisha kuwa kuna vikundi ama ameamriwa kutoka juu. Ingekuwa bora zaidi kwenda nalo makao makuu ya jeshi.
@fatma_karume@fatma_karume nafikiri haina ulazima wa wewe na mnaoamini kuwa Uchaguzi hautazuiwa. Just subiri muda ufike utaona namna uchaguzi utakavyozuiliwa. Vinginevyo wewe endelea kuhubiri unachokiamini