Wakati mwingine ili ufanikiwe usifanye kile ambacho unakipenda wew tu (Business), bali fanya na vile ambavyo wengine wanavipenda (customers) hata Kam ww utakuw huvipendi
(Modern market principle)
FREELANCER
@SwahiliQuest @vijanatzdotcom#Trust_the_source๐โ
Space maalum kwa vijana kwa ajili ya kujifunza UJUZI mpya na mchakato wa kubobea kwenye fani.
Ni mambo gani muhimu kuzingatia kwenye kujifunza? Kipi kifanyike na kipi kisifanyike? Yote yatajadiliwa.
๐คฃ๐คฃ hvi @SwahiliQuest_ mmeona alichosema Leo Fetty kwenye @eastafricatv Friday night!? Kasema mtu kuwa msanii sio uhuni tusimzuie.
Mi nashauri wasiimbe vitu vya kihuni ili Sanaa iheshimike... Vipaji vipo mno
@fmulinda_III@Millambo_@j07105101