Waziri wa serikali batili ya mambo ya NDANI akipimana Nguvu na mwananchi
Yeye ni mwana sheria lakini mwananchi amemzidi hoja akaamua kupandisha jaziba
sasa mtu mjinga wa namna hii anawezaje simamia bunduri za nchi nzima?
kama hapa tu anagombana namna hii, ukimkoroga kwenye kwa siri huko? si inakuwa kama Mc Pilipili