@Sirjeff_D@IAmJogoo Nilikua nafaham hili, Ila Leo nimelijua kwa kina kuhusu Why walifariki wakiwa wadogo hii Ina maana kubwa sana kwenye ulimwengu wa sasa. HasbunAllah Wanimal Wakeel ๐๐๐
@ZPlanmaster Mgote alifanya niachane na Physics hizo notes zake za Heat ni Sawa na vitatu sita vya economics vya ambilikile, nikajisemea ya nini Mimi nikajiendea EGM
Leo nafungua Code kwa wauza Mitumba. Ingawa wengine watachukia kwa kutoa Siri hii.
Msimu wa Blouses, Official Pants, Dresses umewadia. Vyuo vinaenda kufunguliwa. Vijana wamepewa pesa za kujikimu na pesa zao kwa sehemu kubwa hununua nguo (hasa mabinti)
Nenda Mnazi Mmoja mtaa wa Sophia Kawawa, ulizia kwa Mustapha kisha nunua balo lenye chapa ya GIGA. Ndiye mtu pekee anauza hizo.
Balo hili huwa halikai dukani mara nyingi yakifika huwa yanaisha siku hiyo hiyo au ndani ya siku mbili.
GIGA hutokea Canada, kwenye gauni na Blouse hizi balo ni ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Haya hapo nimefungua code sana, mengine kajiongeze huko huko.
BREAKING: Baada ya Rais Samia kushindwa kukutana na DP World, kule Loliondo kutokana na kelele za Watanzania, wamekutana South Africa kwenye BRICS Summit. Tunasubiri kuwaona Kizimkazi kesho kama wana ujasiri. #TanzaniaLeaks
Fahamu VPN kubwa 7 Ambazo Unaweza Kupata Free Internet Baada ya 75%
Hakuna meseji inaboa kama ya 75% watumiaji wengi wa mitandao wanashindwa kuenjoy sababu ya gharama za kukaa mtandaoni
Veep ukipata solution ambalo litaextend mda wako na kukamilisha mizunguko yako Tiktok๐
Kuna thread niliwahi kuandika kuhusu kazi za Transcription ambapo niliwaeleza jinsi unavyoweza kujipatia mpaka $60 kwa siku kama utatumia AI, kuharakisha ufanyaji wa kazi, hii itakua thread ambayo ita cover transcription kwa ujumla
Thread๐๐๐
Online kuna fursa nyingi, miongoni mwa fursa hizo ni transcription, nitakuonesha jinsi gani unavyoweza kutengeneza mpaka $35 kwa saa kwa kazi ya kutranscribe , nitakupa trick na tips za kutumia kutengeneza kipato hicho kutumia tools bure
Thread ๐๐๐