@JonMrema@shebbykadumee Afadhali Mbowe alipigwa chini. Kumbe chadema kulikuwa na wajasilia siasa kama flow yote to chauma from chasema. Chadema was a family property! Asante Bwana Yesu!
@royalmediatz Jibu swwli hili: Je mlilinda kura? Kwanini mlishindwa kulinda kura? Ukijinunhaya, then tuendelee na maswali zaidi ambayo yatatufanya kujua kama John Mnyika alokosea/ anatugawa
TAARIFA KWA UMMA: SOLIDARITY NA WANACHAMA WETU
Mnamo tarehe 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi imewahukumu wanachama wanne (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende, kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja kwa madai ya “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, @Julius_Mtatiro
Hukumu hii ni muendelezo wa mbinu za kukandamiza sauti za mabadiliko na kuwatisha wananchi. Waliohukumiwa ni;
1. Masele Bahati Lubongeja
2. Raphael Henri Masangwa
3. John Charles Mashenene
4. Zephania Lugwisha Maduhu
Wakati tukijipanga kukata rufaa, tuonyeshe mshikamano (Solidarity) kutoka kwa kila mpenda haki kuchangia faini zao ili wasiende gerezani. Jumla kuu inayohitajika ni Tsh 1,200,000.
JINSI YA KUCHANGIA:
M-PESA: 0764 662 049
Jina: CHADEMA KANDA YA SERENGETI