Tukiwa tunatoka Morogoro 2023 kwenye Noah, Tulipofika NJIWENI KIBAHA, polisi waka tu overtake kwa kutuchomekea mbele, Dada Mmoja akasema Wakitugonga tunawashitaki, Mzee mmoja akasema Binti yangu nakukumbusha tu nchi hii Mkuu wa usalama wa Taifa, aliwahi kupigwa risasi na polisi akafa, Polisi wakasema walimfananisha na mwizi,
Binti akaguna akasema ikawaje, Mzee akasema hata sisi hatujui ilikuwaje ๐ข
Kuna watu wanahuruma,
Ibra kaishi na mwanamke mwenye mtoto miaka mitatu,baadaye mwanamke akapatana na mumewe akarudi kwenye ndoa yake,wameenda wakapeana mimba akajifungua mume akaanza kusumbua,mwanamke akampigia ibra,ibra akamwambia kama mmeshindwana rudi,kmbuka ibra hajazaa naye