Je, unajua? Sio lazima uwe na bando ili kufurahia huduma yetu ya NBC Kiganjani.
Msikilize Mkuu wetu wa Kitengo cha Huduma za Benki Kidijitali, Bw. Ulrik Tobias, akielezea safari nzima ya ubunifu wa muonekano mpya wa NBC Kiganjani.
Tazama video kamili π https://t.co/tEaqOyI2TL