@EduTalkTz Ukiangalia clip ni very likely Maasai alikataa kukamatwa kistaarabu kupelekwa panapohusika, maasai hao hao ndo walianza kushambulia polisi, funny enough wanakenua meno wanacheka.... Hapa hakuna sbaba ya kuwatetea hata kidgo hiki kitendo ni lazima kikemewe. Naungana na serikali
🔴⚪️ Arteta: “Martinelli made a huge effort to be in the game — as nobody believed he would there. The medical staff were trembling but he was there and he was excellent”.
“It sends a message to our team, to keep doing what we are doing and also… stay humble”.
@privaldinho Mashabiki wa @SimbaSCTanzania wanavyokuwa vifua mbele kwenye kusajili na makelele mengi, ila msimu ukianza wanalia kama manyau, kama usajili wetu ndo unakutoa povu pita kule😂😂