@HecheJohn Kwa kauli hizi zimezoeleka sana kwa vyama vyote si cdm wala ccm au act ko kwa hayo sishangai tusema Twitter na ya wapinzani tu ndo mana wanaponda sana ccm tu.
@fatma_karume Wakili wa demokrasia ni Mungu pekee tena Democrac iliyo na sheria kinyume na hapo ni shetani mwenye democracy isiyo na sheria kama America inayoruhusu na ushoga waende zao nawanaowatetea kama wewe hatuwataki
@bure_babalia@COLndesaika@kigogo2014 Ko viongozi wawabebe sasa au hawakujua kuna mafuriko wakati wa kujenga? Huo in ushabiki wa kipinzani duniani kote majanga huwa yanatokea na kama hayo faraja yake ni pole tu mana hakuna namna.