@bigiuzalo12@Adventure_36 Inaitwa Mwamwi ๐ tuleni ngoma wanangu ma Sj wapumzike kidogo unaweka wasafi unaenda home kidogo kupiga ugali dagaa rosti nyanya chungu nyingi na bamia.
@PichaNzuri Inasemekana ni mbegu ya maabara kama ni ya mifugo huota fasta na kukaushwa kama yale ya farasi ukichuma indi ukilipanda halioti kam ile mahindi ya msaada ya njano walotupa
@ReganTesla_ Wameweza wapemba na wameitoa kwa waarabu hii na reason why wanashirikiana kwenye uzalishaji kama sio mali ya familia basi biashara so hakuna dhiki wala wivu.
@EliabuDanford Hawa Mama zetu wanajua hata kama chai inakuunguza kwa Mama ntilie wewe hug na mwanamke mwenye marashi siku moja jichanganye umhug yeye utatafuta mshenga.
@KennedyMmari Itafikia hatua una splice ya kampuni nyingine ukijua yako ๐ kama nyumba za kupanga na satellite dish unakuta kila mpangaji ana mbili mpo saba๐