@MariaSTsehai Mmeanza tena huu upuuzi? Is this the first time? Watu wenye akili inabidi waanze kuwastukia na nyie ๐ณ no wonder mnatumika pia, guys izi mambo zinazohusu siasa ziangalie tu ivi kila mtu ana maslahi yake. This is not the first time mnadai wanapost picha za kuedit sijui post ni tbt
@moshijnr I donโt get that shit at all ๐๐ kwanza huwezi sema unamwombea uraia Chama kwaajili ya team ya Taifa kwasababu hakuna kitu anaweza ongeza, so thereโs no need of that, pili I donโt understand Tanzania immigration laws ๐ณ mtu anaombewaje uraia ๐คทโโ๏ธ na anaombewa na nani ?
@PhysicsJ7@HecheJohn@TBoundBuses Kabla ya kuwalaumu waliomzunguka nahisi ungemlaumu yeye bhana ๐ kwa mtu mwenye akili timamu anajua thamani ya USD hata akiandikiwa iyo hotuba wakati anaisoma atastuka na ataachana nayo ๐ yaani mtu kabisa anajua thamani ya dollar 1 akaandikiwe eti mafuta yanauzwa $800 kwa lita๐
@Eliamen1@Labella_Mafia95 Hii ilinifanya mpaka nikagoogle na hakuna story yoyote google inayoonesha kazaliwa nje wala kaishi nje, google inaonesha kazaliwa bongo, kakulia bongo na kasoma bongo ๐๐ nachanganyikiwa mjuu wangu ๐ sasa na hapa tena passport ya US nachoka Mimi
@Eliamen1@Labella_Mafia95 Ile comment kuna mtu kaireply kanistua sana maana mpaka nimeingia kwenye page yake kumfatilia seems like ni kama familia ivi. Amesema uyu dada kazaliwa Tanzania kakulia Tanzania na hajawai kuishi nje kabisa waga anaenda kutembea tu kwa muda kadhaa na kurudi ila kazaliwa Tanzania
@Eliamen1@Labella_Mafia95 Ukisikia nachanganyikiwa mujukuu wangu ndo hii ๐๐๐ mimi siku zote Najuaga ivi bhana, story zinasemaga kakulia nje japo kuhusu kuzaliwa sijui. Sasa juzi nimeona kuna post alipost akiwa anafanya interview ile kenya kuna mtu akacoment pale kwamba Tanzania msilinge kazaliwa US .
@JoyceHuru@tomjewson25@TanzaniaLeaks Ivi kuna vitu mkiandika cinawasaidiaga nini? ๐ sasa kwa mfano wewe kama mwanamke ichi umeandika nini? Mama wa mtu anaingiaje kwenye ujinga wenu wa mitandaoni?
@Julius_Ceezer @BorderTino30 @grok Not celebrating, theyโre Comforting him since people are using his photo in the dirty video and claiming that heโs the one on the video while heโs not๐ as a teen that can affect him mentally he needs people to comfort him.
@russiancyger@kimbungakimbu@AbroadTanzania KWa mfano saizi kuna batch kama tatu za wanafunzi wa dit wako china wanajifunza ujenzi vyuoni uko hii ni kwasababu china ๐จ๐ณ wako vizuri sector iyo inawezekana Israel ๐ฎ๐ฑ wako vizuri kwenye kilimo ndomaana chuo kikachagua kuwapeleka uko na nikitu kizuri sana katika elimu yetu
@russiancyger@kimbungakimbu@AbroadTanzania Labda na mimi nikuulize wewe unahisi kwanini sio sawa??? Kama ambavyo watu wanatoka vyuo vya Tanzania wanaenda vyuo vya china, Canada ๐จ๐ฆ na kwingineko kuongeza ujuzi ndoivo na SUA wanapeleka wanafunzi uko kupata chochote kitu!! Labda wana vyuo vizuri vya agriculture kuliko vyetu
@Napenda_chelsea@ExMayorUbungo We kama mimi tu๐ yaani mambo ya jina la primary kweli ndomnatuletea hapa๐๐๐ na hii story inaweza kuwa ya ukweli ila sio kama anavyoizungumza hapa!! Ukitaka kujua kwanini sio uliza kwanini anasema kasoma primary miaka 8!!!
@DedanWangwe Ivi vyama vibaya fanya muwe matahira ๐ ndomaana watu sikuizi wanadharau sana vyama vyenu yaani kama amna akili kabisa๐ก hatuna vyama vya upinzania tuna wakurupukaji ndo hii sasa
@JJMaxmillian@wisdomjaykwa Mmmmnh!!! Binafsi waga naamini izi ni propaganda but wala hazijaanza leo so hii sababu uloitoa wala haina mashiko!! Izi propaganda zimeanza kitambo mnoo waga zinazuka na kupotea
@SerengetiO@Giftmwesiga@AbroadTanzania @_belindaPINDA Labda kama ni Mkatoliki anayesali anglicana ๐ yaani hata akiwa pale oysterbay waga anasali anglicana pamoja na kuwa anaishi nyuma ya st Peter ๐