Tulikuwa na wakati mzuri wa kuzuia huu ugonjwa kuingia nchini lakini tulifanya mzaha. It is now coming to our reality and we have to face it. Je tumejiandaa na vitanda vya kutosha au matamko?@fatma_karume
Naomba for this month tusipost mambo ya mapenzi na zile vitu za J-Wise, please. Uwe ni mwezi wa maombi na kujitafakari. Tupunguze posts za ku-slay. Tusirepost vitu za hivyo. Nashukuru. 🙏
@DevotaMinja@HecheJohn Alichokisema @HecheJohn kwangu nakiona kama success story ambayo @susankiwangwa angesimama na kujivunia umbilical aliotoka na siyo udhalilishaji.