@Mtanzan03736833@GreatNorthUSK@HecheJohn Punguza ujuaji kwenye maisha ya watu,wewe mwenye akili umefanya nini kusaidia taifa hili huna sifa yoyote yakumdis Heche
@PMadeleka@SuluhuSamia Kimsingi ni kwakuwa wantanzania ni wajinga sana,,kwa maelezo haya anayoyasema Rais yeye mwenyewe hakutakiwa kuendelea kuwa rais kwa dakika moja zaidi hadi sasa,anaongea haya halafu hao wanaofanya hayo wapo na hawachukulii hatua zozote ๐ข๐ข๐ข
@MdemuPolycarp @OfficialShilole Hili suala umelieleza kwa ufasaha sana kaka kuna kitu umenijengea..nimejuakwamba hata Mungu akikusaidia inakuwa ni connection pia kwa sababu atakukutanisha na mtu au watu๐๐
@EliabuDanford Kaka hili andiko limejibu maswali yangu yote ambayo nimekuwa nayo muda wote..kama ni kweli hiki ulichokifafanua humu...Asante sana ndugu.
@EliabuDanford Ok.sawa fikiria mambo ya teknolojia wanayovumbua dunia,fikiria mambo wanayofanya katika anga za mbali huko teknolojia katika vifaa vya kivita nk
@EliabuDanford Kwenye hii issue ya waafrika huwa inanitatiza sana hasa kwa kuangalia upeo na maarifa waliyonayo watu wenye rangi nyeupe dhidi ya sisi waafrika utakuta tupo nyuma sana..wanavumbua mambo mengi sana na kuibadili dunia kwa maarifa yao yaani daah sijui nisemeje