@latax_@HildaNewton21 Wee ndo unatia huruma kuwa kundi moja na mashetani... Lisu haogopi kuga maana ni mzimu huo mwamba alishakufa kwenye bullets kitambo wee hushangai wengi wakikisiwa kufa wanakuwa waoga na wanahama nchi ila yeye yupo cool tu hadi kusudi la Mungu litimie ndo ataiaga dunia.
@Deewamainde@godbless_lema Wee ni mjjnga sanaa jujui siasa inaamua maisha yako..yani wakiamua ulale ndani unalala na wakiamua usiuze chochote hautauza na wakiamua mtoto wako asipate dawa hapati na wakiamua wasikuletee maji kwa kodi zako hawaleti na huna cha kufanya maana hujui siasa ni nn..bro
@mshambuliaji Maelezo ya kamanda yanautata sana alijaribu kupambana na askali kwa kuwasogelea.. kawaida askali wapogo wawili yani walishindwa vip kum handle chizi mmoja tu..Tz saivi kutoa uhai wa mtu imekuwa kawaida tu why? Nchi utadhani inaendeshwa na wanamgambo.
@Royaltv_plus So walopigwa vyuma october wapotelee huko huko bila wahuni kuwajibishwa kisa siasa safi..BIG No, hapa uwajibikaji lazima ili iwe fundisho wakiachiwa next election they will do the same.. Loosing an innocent people with intetion bullet its not acceptable at all.
@Sativa255 Yani mamlaka zinaomba mamlaka zifanye kazi..Nonsense looks like polepole has alredy gone for good.. The tyrant are ruthless like komomdo dragon no mercy at all.