@Tumaini_Daniels@kasesco_tz Kuwa direct tuuuu, ulikua unakaa mandela anex au Muungano…. na kama ulikua unachukua geog hakikisha Kilasi amekufundisha Map na photography
Kuna sehemu nilituma cheti cha kuzaliwa nikaambiwa hiki ni cha zamani kinatakiwa cha mfumo mpya nenda kabadilishe RITA💔
Bila ndugu yangu @CarterTz_ kingenilamba hii kitu ni muhimu sana wakuu. Hata kama huna atakusaidia kuomba siku 2 tu unakipata.
📞: 0717 815 554