A Father (One Kid)
Media Personality, Video & Photographer,
Audio&Video Producer, Graphics Designing, Software Developer,
Presenter, Producer @goldfmtanzania
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Dkt @cherehaniemmanuel anawatangazia watu wote kuwa tarehe 26, Februari 2023, Naibu Waziri wa Afya (Dkt.Godwin Mollel) atakuwa jimboni kwake Ushetu mkoani Shinyanga katika ziara ya Siku moja.
Ngoma kumi za mwanzo kutoka #Chart ya BIG 30 wiki hii kupitia 88.7 Gold FM kuanzia nafasi ya 30-20(Saa ya Kwanza).
Endelea kusikiza @travellerbang #Bunduki bado anaendelea kuzihesabu mpaka nafasi ya kwanza.🔥🔥🔥
#ZamuYako
@DrPierebinxete@DRCharless22@MarekaMalili@DrPiusMiguri@Njamasi_@chevi_masta@babalao__ @MissRashfordy Kauawa na kutundikwa, sababu Kwanza kitanda ni kirefu kuliko miguu, kama angekuwa ameamua kujinyonga angejiokoa Kwa kukanyaga kitandani, pili kuna glass mbili maana yake kulikuwa na mtu wa pili, na inaonekana yeye ndiye mlemavu na aliyemuua kulikuwa na purukushani
Natamani kujua yafuatayo, kwenye #squidGame
Hivi yule mtoto baada ya kuondoka na mama yake, vipi maisha yao.
Wale walinzi kule kambini; viungo vya binadamu walikuwa wanapeleka kuuza wapi na itakuwaje.
Yule mzee aliyekuwa anamdai star wetu yu wapi
Imeishaje vile? Naisubiri🤪
Kuna HIP HOP fulani hivi zinazofanywa na #beabeat pale #kilirecord ama zile zinazofanywa na #adobeat#viem huwa ni balaa, anaweza hata kusikiliza mzee kikongwe walah😁😁😁
Halafu kwenye hizi zote mpeni kipande kidogo tu @pmawenge 👍👋