Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu kwa jina la Sativa ambaye alitoweka Dar es salaam June 23,2024 na kupatikana akiwa amejeruhiwa usiku wa kuamkia June 27,2024 katika Hifadhi ya Katavi, amesema alitekwa tangu usiku wa June 23 kisha akapelekwa kwenye karakana iliyopo Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Katavi ambako alipigwa risasi ya kichwa iliyopenya kwenye taya na kuharibu meno yake.
Akiongea akiwa Hospitali ya Mpimbwe, Sativa amesema
“Nilitekwa Jumapili (June 23,2024) saa moja usiku na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay, najua Kituo cha Oysterbay hawana taarifa zangu lakini walinipeleka kwenye karakana ya Kituo cha Oysterbay ambapo nililala pale kuanzia saa 2 usiku hadi saa 11:20 asubuhi kisha wakaja kunichukua Washikaji ambao nimekuwa nao kwa siku zote hizo kuanzia Jumatatu ambapo wamenipiga risasi ya kichwa”
“Mungu ni mwema nimepigwa kichwani lakini Mungu ameipitisha kwenye taya hivi tunavyoongea meno yangu upande wa kushoto ya chini yanahitaji kwenda kufanyiwa marekebisho”
“Nawashukuru Watanzania Mimi sipo online tangu Jumapili lakini nimesikia kuna movement zinaendelea Washikaji wananipigania huko upendo ni mkubwa sana Mungu awabariki, niwashukuru Wananchi wa Mpanda wameonesha upendo mkubwa sana nimepatiwa usafiri nimepewa Ambulance love ni kubwa sana Mungu awabariki”
Itakumbukwa siku mbili baada ya kutoweka kwa Sativa, Jumanne June 25,2024 @AyoTV_ ilifika Kituo cha Polisi Oysterbay ili kupata taarifa za Kipolisi ambapo Polisi walikiri kuwa Ndugu zake Sativa waliripoti kutoweka kwa Ndugu yao na kusema Jeshi linaifanyia uchunguzi taarifa hiyo na itazungumza uchunguzi ukikamilika> https://t.co/7XOTn1CcnY
Tunaweza kufanya jambo la haraka hapa, tuchange michango ya dharura, ndugu yetu Edgar Edson Mwakabela, @Sativa255 apate usafiri wa ndege ya jioni, kutoka Mpanda aletwe Dar es Salaam kupata matibabu. Hili haliwezekani bandugu? Au kuna ushauri tofauti na huu? #JusticeForSativa
Wewe ndiye mwanamke ninayekupenda hata mboni zangu zinakujua 🥰
Kuna wakati napitia vishawishi lakini kuamua vinginevyo juu yako hilo katu siwezi 🌹 nakuhakikishia Mpenzi. 🙈
Nimeshakuwa mwanaume wa maana Kila nilipoonyesha picha zako, hata mabest zangu wa kike hawakumudu 😍 nimekufanya kuwa Malkia mbele yao 👑
Nipo kukumbatia kwa Kila nyakati zako Mbaya, 🫂 I love you 😘💕
@Bongotech255 @Profesa__ Asubuhi kuna kuwa na kiwango kikubwa cha hormone inaitwa testosterone hormone,,,ambayo hua ina deal sana na secondary sexual characteristics kwa mwanaume
JE UNAZITAMBUA HIZI USSD CODE NA KAZI ZAKE KWENYE SIMU YAKO
Kupitia Dial jaribu.
*31# (ondoa Caller ID)
Mtu unaempigai atoweza kukutambua kurudisha piga*31#
*#06# (Check the Device's IMEI)
Angalia IMEI number ya simu yako
*#67# (angalia Call Forwarding)
...🔄👇
Huyu dogo namuona Hansi and Ambagile kulijua soka. Pamoja na kushiriki UMITASHUMTA na UMISETA kiwanja second miaka hiyo ila sijawai elewa role za no.8 kipindi hicho dogo mdogo fundi, Hakika ni hazina kwa nchi katika soka anahitaji kushikwa mkono @George_Ambangil@Hansrafael19