Hapana ndugu sijasema hauna akili,nachotaka kusema ni kuwa tunajiepusha kutumia LUGHA ya kubeza,dharau,chuki na matus!!KWA NAMNA NINAVYOMFAHAMU MAGUFULI ANAWIWA NA MAENDELEO YA NCHI YETU.NAMFAHAMU TOKA AKIWA WAZIR MPAKA LEO AKIWA RAIS.KO NAMNA SAHIH YA KUMSHUKURU MPE MINGINE 5
Hujawafahamu UPINZANI mpaka Leo bro!!WALE watu na vyama vyao wanajenga vyama ili wapate RUZUKU,VYAMA VYAO VIMEKUWA SACCOS ND AN YA MIFUKO YAO.WANATUMIA NAFASI YA UJINGA WA BAADHI YA WATANZANIA KUWAAMINISHA KAMA WAPO KUWAKOMBOA WATANZANIA.Hakuna chochote ni ULAJI TU
@Gagaa215 Ushahidi uko waz toka IMF,WB,UNDP wameitaja TANZANIA kama nchi ambayo UCHUMI wake unakua kwa kas hasa kwa nchi zilizo kusin mwa jangwa la SAHARA NA KWASASA WAMEIWEKA UCHUMI WA KATI
@kigogo2014 MNAFANYA VYAMA KUWA SACCOS NANI ATAWAAMINI!!WABUNGE WA UPINZANI KARIBU URAIAN!!!WAACHE WAPENDA MAENDELEO WAWATUMIKIE WATANZANIA,NANYI WACHUMIA MATUMBO MJE KITAA!!!
Povu lote la nini?mwaka huu SACCOS zenu (Vyama)vinapukutika kabisa subir masaa 72.HIVI MMEJIANDAA KUSEMA UCHAGUZ SO HURU NA HAKI.Hao wanaowatuma muonekane mnatishia kuigawa NCHI WAAMBIEN WATANZANIA SO WAJINGA!!WANA RAIS MAKIN!!!