@Arsenal We can’t win any trophy with Havertz. The fact that he had to be out injured for the most part of the season for us to win the league tells you everything you need to know.
@emabilly2001 Kama una Cloud storage ya Icloud 100GB. Unachukua na Gmail 100GB za nini? Maana lazima una physical storage ya simu pia, laptop na external maybe.
@k_mjege Jana nilikutana na boda wa3 wote walitaka 4K. Mimi nilikua willing kutoa 3K na ndio sahihi. Sasa nikakutana na wa 3K, along the way tukapiga sana story. Tulipofika nikampa 5K hela ndogo alikua nayo ni 1k. Mimi nikamuambia we ishi na 5K yote mzee, hakuamini. Huduma inachangia.