@sindai_mabula@kalegamyeh Mimi Mama yangu ni known diabetic,alilazwa hospital moja kubwa tu hapa Arusha nilipoenda kumuona nikakuta amewekewa drip la D5, sijui ingekuwaje kama nisingekwenda kumuona siku ile
@awamisammy Una maanisha media za Tanzania au za nje? Kwa Tanzania media house pekee iliyobaki kwenye mstari ni @TheChanzo ,hizo nyingine hata zikifungwa leo ni sawa tu
@zablonorina1 What about cuff size and it's positioning? You didn't say anything about the effect of cigarette smoking and coffee/caffeine intake as well as resting before measuring blood pressure
@raphynmso@EliabuDanford Sahihi kabisa mkuu,akiwa na adherence nzuri viral load inakua almost undetectable uwezekano wa kumuambikiza mtu mwingine ni mdogo sana
@thee_alfa_house I used to respect this guy but after supporting what happened in Tanzania after last year's sham elections, I realised what kind of a person he really is
@Samalentips Bunge la Senegal linaongozwa na Chama cha PASTEF cha Ousmane Sonko,Huyo aliyekuwa Speaker ni wa Chama cha PASTEF na amejiuzulu ili kutoa nafasi kwa Sonko kuwa Speaker mpya,bunge linakutana Kesho kwa ajili hiyo. Ikumbukwe waziri mkuu mpya lazima aidhinishwe na bunge
@BlessdGrooveKid Cheti cha ndoa ni nyaraka ya serikali,kukichana ni kosa. Pia ieleweke kuwa hivyo vyeti huwa vinakuwa na nakala tatu,moja mnapewa, ya pili inaenda RITA,ya tatu inabaki kwenye kitabu cha msajili msaidizi aliyefungisha hiyo ndoae
@mangekimambi@wananchiforum Nafikiri hii inaweza kuwa fursa nzuri sana ya Ku promote alternative social media apps / platforms,kuna Telegram na Signal zipo very secured na hazishirikiani na serikali yoyote duniani kunyamazisha fikra mbadala,tumia ushawishi wako kuzitangaza
@KenyanSays He should be told that no one holding public office (apart from civil servants) is elected here in Tanzania, even subvillage leaders are imposed upon us,
@furia_francis Kuna tatizo kubwa sana la kutozingatia Cuff Size kwenye upimaji wa shinikizo la damu,vituo vingi havina large na extra large Cuff,wagonjwa wengi wanapewa matibabu wasiyostahili kwa sababu hii
@_T0nnie Kwenye upimaji wa shinikizo la damu kuna tatizo la kutozingatia Cuff Size kwa kutegemea arm circumference ya anayepimwa, vituo vingi havina large na extra large cuff hivyo waliowengi wanapewa majibu yasiyo sahihi na kuanzishiwa dawa wasizostahili