Ndoa za utotoni zinawaathiri watoto wakike hupata mimba wakiwa bado na umri mdogo wakujifungua hupelekea kupoteza maisha familia na jamii kwa ujumla tupinge na tuzuie ndoa hizi ili watoto watimize ndoto zao
#zuiaUkatiliKwaWatoto@TIPOfficial__@agpahi@wizara_afyatz@dia
Mimi na vijana wangu wa scouti tumejiandaa kwenda kupima VVU. Pia tupo tayari kukemea na kupinga ukatili kwa watoto ili tujenge taifa Bora la kesho. Nakuomba ungana nasisi kutokomeza ukatili kwa watoto nakupima HIV.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto#TIPdigitaliTraining
Shirika la Tanzania Interfaith Partnership (TIP), limekabidhi pikipiki kwa ofisi zake za wilaya ya Buchosa, Ilemela na Kwimba kwa ajili ya kufuatilia shughuli za upimaji VVU na ufuatiliaji wa matukio ya ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto @TIPOfficial__#RafikiKapimeHIV
Je, ni wapi nitapimwa virusi
vya ukimwi?
Kupimwa kunaweza kuwa kwa siri (wewe tu na zahanati mtajua kuhusu kupimwa kwako) au kutojulikana.
#RafikiKapimeHIV
Natumbua thamani yangu ndio maana nimehakikisha usalama wangu kwa kwenda kupima afya yangu kwani afya ni mtaji wangu wa kesho na maendeleo ya jamii yangu,hivyo Basi kupima ni Kama wajibu na wewe kawajibike kwa fursa hiyo kutimiza malengo yako
#rafikikapimeHIV@RetisiaDeograt1