MAMBO MUHIMU ya Kuzingatia Unapotaka Ku-OVERTAKE gari HIGHWAYS...
.
Kama Umekua ukisafiri (Dereva/Abiria) safari ndefu basi hicho kichwa cha huu UZI hapo juu kinakupa picha flani Kichwani...
.
Basi twende pamoja na haya MAMBO yaliyookoa Maisha ya Fredy na familia yake...
👇
@Enzokwayu24@Iamfelixtz Kuna matumizi ya ajabu ajabu mengi sana yasio ya lazima as if wameshamaliza kutengeneza miundombinu na huduma zote za kijamii ukizingatia sana inaboa sana
@AdamMkali2@Shadod6@Roma_Mkatoliki Mwanachama, mmoja wa watu waliosajiliwa kwenye chama au kikundi Fulani na anayo haki ya kua kiongozi wa chama hiko endapo atachaguliwa
Shabiki, mtu anaekubari au kupenda sera,chama au mtu fulani
Mfuasi ni yule anaefuata kitu au mtu fulani kwa mapenz yake binafsi
@AdamMkali2@Shadod6@Roma_Mkatoliki Mwanachama asie hai ni yule Ambae ana kadi na hajalipia uanachama au labda haja sasisha taarifa zake kwenye chama husika lakini kisheria hakuna mwanachama asie sajiliwa kama hujasajiliwa unakua shabiki tu broh mbona iko clear tu
@AdamMkali2@Shadod6@Roma_Mkatoliki Brother mtu kuwa mwanachama wa chama au team ni lazima uwe na kadi maalum iliotolea wa na chama husika na lengo la vyama vya siasa ni kutengeneza platform ambayo itawaandaa wagombea wanaofaa kua viongozi, lakini inapokuja uchaguzi tunapiga kura tukiwa kama wananchi