@Fataa12625797@godbless_lema Watekaji watakuwa wanamtumikia Mungu. Na wanaopinga utekaji watakuwa wanamtumikia shetani. Aiseeee. Utumishi wa Mungu ni kuukubali utekaji? Mungu anajua kutukomoa.
@wolowolo4250@godbless_lema Watekaji watakuwa wanamtumikia Mungu. Na wanaopinga utekaji watakuwa wanamtumikia shetani. Aiseeee. Utumishi wa Mungu ni kuukubali utekaji? Mungu anajua kutukomoa.
@rollymsouth Ndugu yangu mzee wa Binti kilosa since kwa shebby pale makutano ya Shaban Robert Na Samora Avenue Salam. Kuna nyakati tunapaswa kuelewa kuwa kuhama chama ni sehemu ya demokrasia. Pia ni vema kuacha watu wahame bila kudhihaki yeyote na kuwapa airtime.
@Labella_Mafia95 Wee Tako, unadhalilisha nchi na serkali. Kusema hivyo una maanisha kwamba serikali ndio inamshikilia. Unaweza thibitisha hili? Acha uupuzi huu mara Moja
@Anyisile @Stany_Midea27 @joshuajr69@Sativa255 Nashauri kila mmoja awe anashambulia mada na sio personality ya mtu. Ukishambulia mtu badala ya mada, jiandae na lolote.
@ReganTesla_@TanzaniaOneJezi Toffi zilikuwa ma Ganda la njano na zikikaa sana dukani ganda la lilikuwa tabu kutoka. Saa hio tunakunywa Soda ya FAHARI na mirinda kipapri kabla kiwanda hakijafungwa.