@IdrisSultan Hata udaktari hauhitaji miaka mitano mtu kusoma kuna app nyingi zinafundisha mamb ya afya wapunguze hata two years then mtu akomae na youtube dunia inaenda speed sana
@BabaCleopatra@daktarimtalii@ummymwalimu Wanasema kama umejitolea na umejua kazi meaning ukienda kwenye interview utumishi inatakiwa ufaulu maana tayari umefundishwa kazi
@bonichengula Hata kama ni crdb usihakiki kwa risiti ya mteja ila angalia salii lako , kama simbanking ya app risiti inaweza toka kumbe muamala umerudi
@YourFrenchFry Yona alitakiwa apeleke ujumbe wa Mungu ila kwa hofu akakimbia Mungu akamuadhibu kwa kukaa tumboni mwa samaki siku tatu , kosa lake lilikuwa kutotimiza wajibu aliopewa na Mungu