Top Tweets for #ASKOFU
#ASKOFU UNA PHD_YA THROLOGY NA SOCIAL ETHICS LAKINI HUJUI KIPI KINAANZA KUDAIWA KATI YA #AMANI NA #HAKI 📚💦
>>Kwani tangia lini haki ikadaiwa kipindi hamna #amani?🤣🙌
��yaani kuna machafuko ( civil war) _mabomu,risasi,
_hapo hamna jeshi wala polisi wal mahakama wala mawakili kila mtu yuko ndani ya geti nyumbani kwake anaogopa kutoka
🔹️halafu unatoka wewe na kichwa chako unaenda kudai #haki🤣
🫴Unaenda kumdai nani haki hiyo wakati wa vita na machafuko⁉️
🫴MBONA KUZI TULIKUA LOCKDOWN SIKU 5 ZA UCHAGUZI HATUKUWAONA MMETOKA BARABARANI MMEENDA MAHAKANI KUDAI HAKI ZENU 🤣
_HATA NYIE MASKOFU WA TEC HAPO DAR HATUKUWAONA MKIWA MMESHIKA MIKE MADHABAHUNI MKIHUBIRI WALA KUDAI HAKI🤣
ILIKUAJE BHANA⁉️
🫴KWAHIYO MLITAKA MKINUKISHE NYIE NA CHADEMA MTAANI _TUPIGANE MABOMU NA RISASI HALAFU WAKATI HUO HUO KWENYE VITA HAKI ZIDAIWE⁉️
_fikiria kwanza waliondamana oct 29 🇹🇿 wamechoma mali za watu na mali za umma na kuua askari waliokua wanalinda amani na usalama wa raia
🫴Hivi askofu ; hao walioibiwa na kupoteza mali zao nao wakisema wanadai #haki zao toka kwa #waandamanaji walioombewa msamaha na RAISI JUZI BUNGENI TUTAFIKAA KWENYE AMANI ⁉️
KWANZA HIVI HIZO PHD MMEPEWAJE AISEE ⁉️
HEBU KIAKILI TU YA KUZALIWA;
🫴NIAMBIE ; UTATANGULIZA KILI HAPO KATI YA #AMANI NA #HAKI⁉️
HAKI HAZIJAWAHI KUTEKELZWA ZOTE ZIKAISHA KWA SIKU MOJA WE JAMAA
🫴kila siku watu wanadai haki zao ..ikiisha hii ikiisha...inatafutwa hii mpaka kiama..hakuna haki ishatekelezeka ikaisha
MTOTO; akizaliwa tu..anaanza kuidai haki serikali kuanzia_chanjo,madawa,shule,chakula,vyeti vya usajili,kadi ya nida
🫴kwamba zitaisha zote hizo na kila siku watu wanazaliwa⁉️
🔹️HEBU NIAMBIE RAIA ALIYEKO #SUDAN NA LIBYA AU #CONGO KWA SASA HAKI YAKE ANAIDAI KWA NANI ⁉️
FIKIRIENI KABLA YA KUKURUPUKA AU LABDA KAMA MKO NA AGENDA YENU MNAJITOA UFAHAMU ILI MPATE MASLAHI YENU
NB: MLIZOEA KUPITISHA MALI ZENU ZA KIMAGENDO #BANDARINI , MAMA KAWAPIGA KABAL KWA MKATAB A WA DP_WORLD ndio maana mnalia lia maana mlizoea vya bure
#DP_WORLD ILIKUA NI CAMERA YA KUNASA WAHAINI BANDARINI NDIO MAANA WALIPIGA MILIO MIKALI YA MAUMIVU KWA KUKOSA MASLAHI YAO
ASKOFU ASKOFU ASKOFU 🚨🖐
>>>WAHENGA WANASEMA 💦
🫴UKITAKA KUJUA UFAHAMU NA KNOWLEDGE YA MTU MPE MIKE AZUNGUMZE;
🔹️#Askofu au mchungaji_unafundisha #chuki badala ya kufundisha #upendo na maridhiano baada ya watu kugombana na kuhasimiana⁉️
_UNASEMA WAZI KABISA KWAMBA;
"HILI HALINA MSAMAHA"
🫴Unajaribu kuashiria na kuwafunza nini watu walipoteza ndugu zao au kujeruhiwa⁉️
_KWAMBA HAPA #KISASI NI LAZIMA NA WAFIWA WASIKUBALI YAISHE #BURE👀😱
🫴_HIVI HUYU AKIPEWA NDOA ZA WATU AU KESI ZA WAUMINI WAKE AWASULUHISHE KWENYE MGOGORO WAO HUWA ANAFANYAJE HUKO KANISANI KWAKE⁉️👀
Inanishangaza watu kama hawa eti wanapewa #madhabahu na wanaonekana wana hekma na busara
🔹️#askofu au #mchungaji_ Unahubiri hekma huku mwenyewe maneno yako yanakosa hekma ⁉️
_unawahubiri WAOMBOLEZAJI KUTOKUBALI "KUSAHEME"⁉️
JE, hiyo ndio hekma ya kusuluhisha migogoro⁉️👀
NDIO #BIBLIA UNAYOIFUNZA INAKUAMBIA HIVYO⁉️
🔹️KWAHIYO NDUGU ASKOFU UNAMAANISHA PIA WALE AMBAO MALI ZAO ZIMEHARIBIWA KWA KUCHOMWA MOTO PIA KUIBIWA NA WAANDAMANAJI AMBAO WEWE UMESHINDWA HATA KUWAKEMEA...JE, NA WAO WASISAMEHE JUU YA UHARIBIFU WA MALI ZAO ⁉️👀
_na wao wana #haki kulipiziwa kisasi kwa mali zao kuchomwa moto na kuibiwa....SI NDIO UNATAKA HIVYO⁉️
🔹️NA serikali nayo ISISAMEHE WALIOHARIBU VITUO VYAO VYA POLISI NA MALI ZAO ZINGINE KAMA VITIO VYA MWENDO KASI .
🫴JE, NDUGU #MCHUNGAJI AU #ASKOFU NDIO UNATAKA MAMBO YAWE HIVI TULIPIZANE KISASI KWA STAHILI HII⁉️
_JE UNAHUBIRI KWENYE KULITENGENEZA JAMBO LILILOHARIBIKA AU UNAHUBIRI KWENYE UMWAGAJI DAMU ZAIDI NA MFARAKANO⁉️
✍️_Pengine JAALIA AU ukute askari alirusha risasi kutuliza machafuko ni MUUMINI WA KANISA LAKO NA ALIYEPATWA NA RISASI NI MUUMINI WA KANISA LAKO ___JE HAWA WATU UNAJARIBU KUWAAMBIAJE⁉️😱👀
_KWAMBA WASISAMEHEANE AU SIO⁉️😱👀
🔹️AU KWA MTAZAMO WAKO NI KWAMBA ASKARI WOTE NI TZ🇹🇿 WAISLAMU NA NI KUTOKA ZANZIBAR ⁉️👀😱
_umeshindwa hata hata dakika moja kukemea uharibifu uliofanywa na waandamanaji na kuwapa pole na moyo wa faraja waliopoteza mali zao kwa uharibifu⁉️
KWAHIYO WALICHOFANYA WAANDAMANAJI KWENYE MALI ZA WATU NA UMMA NDIO #HEKMA YENYEWE UNAYOIHUBIRI⁉️
_NA MBONA HAMKUWAKANYA WENYE NIA ZA MAANDAMANO NA MACHAFUKO HAPO KABLA...NA ILIHALI MNAJUA KABISA WALIPANGA JAMBO HILO MAPEMA KABLA YA OCT 29⁉️
🫴Kwahiyo ndugu askofu_kikwenu kunyamazia wenye nia ya kuchochea uharibifu NDIO #HEKMA ZENU KITHIOLOGY⁉️
🫴umedai kwamba MALIPO YA MWENYE KUANDAMANA SIO RISASI ..NI KWELI
_Lakini je, kuandamana kwa kuharibu mali za watu na za umma kwa sababu ya kudai #haki NDIO #HEKMA⁉️
YAAMI MTU AAMKE ACHOME MOTO MALI YA MTU KWA KUDAI HAKI YAKE TOKA SERIKALINI 😱
🫴UNADAI #HAKI KWA KUVUNJA NA KUHARIBU #HAKI ZA WATU WENGINE __ASKOFU UMESHINDWA HATA KU ADRESS HILI
_ni kweli moja wapo ya msingi wa AMANI NI HAKI...LAKINJ JE,
🔹️#HAKI INADAIWA KWA KUVUNJA #AMANI ILIOPO KWANZA NDIO MPATE #AMANI INGINE ⁉️
🔹️Ndugu askofu _umeshindwa kuwafunza RAIA 🇹🇿 wawe na SUBRA NA WADAI HAKI ZAO KWA NIDHAMU NA UTARATIBU MZURI...UNAWAFUNZA WAWE NA ROHO ZA VISASI NA KUTISAMEHE⁉️
NDUGU ASKOFU IMA HUJUI NINI HEKMA AU UNATUMIKA KISIASA KWA MAKSUDI KUPOTOSHA WATU KISA UKO MRENGO WA KIDINI AU UCHADEMA✍️📚
✍️_KUWA NA MADHABAHU UKASIKIKA KWA WATU SIO KIGEZO CHA KUCHOCHEA MIGOGORO KISA UNASIKILIZWA NA WATU WENGI
_lakini Mnawanyamazia wanaharakati walioko nje ya nchi_waliochochea machafuko kwakua ni mrengo wenu [KINA #MANGE,#SARUNGI]
NB;NDUGU ASKOFU KUMBUKA WATU WENGI PIA WAPO WANAOMBOLEZA VIFO VYA NDUGU ZAO KWASABABU YA MACHAFUKO YA WAANDAMANAJI NA SIO KWASABABU YA RISASI ZA ASKARI
🔹️WATU WANA HASIRA NA WAANDAMANAJI KWA KUCHOCHEA VURUGU NA HATIMAYE KUSABABISHA VIFO VYA ASKARI NA RAIA WASIO NA HATIA..PAMOJA NA HASARA ZA MALI ZA WATU KIUJUMLA
Ili umwelewe vizuri zaidi #Askofu inabidi urudi kwenye lile tukio la kale pale #Mawinguni na kilichofuatia baada ya #Maradona kuingilia kati.
Mchekeshaji Massanja Mkandamizaji, ametembelea Makao Makuu ya Sauti ya Amerika wiki hii ambapo alifanya mahojiano maalum na mwandishi wetu Sunday Shomari...
#massanjamkandamizaji #mchekeshaji #askofu #emmanuelmgaya #tanzania #thecomedy #voa #voaswahili
Askofu Emmanuel Mgaya wa kanisa la Free Church Tanzania almaarufu kama Massanja Mkandamizaji afanya ziara Marekani kwa mwaliko wa taasisi ya Ambassadors for Childrens Health.
#massanjamkandamizaji #mchekeshaji #askofu #emmanuelmgaya #tanzania #thecomedy #voa #voaswahili
#ASKOFU wa Kanisa la KKKT Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza, ameishauri Wizara ya Maji nchini kuendelea kuimarisha mifumo ya utendaji kazi, ikiwamo kutoa taarifa sahihi juu ya ulipaji wa bili kwa wateja. Amesema hayo alipotembelewa na Naibu Waziri wa Maji, Eng Kundo

#Askofu Bangonza si mdini anatambua umuhimu wa kusema kweli pale inapopaswa kufanya hivyo. Heko kwa mtumishi wa Mungu huyu amesema kweli tupu #MguuKwaMguu na Mama
#Khusange ne khendo is live on khendofm .
#8:30pm _12 midnight .
#Chonganajunior(oversia).
#Askofu Noah Wanyama.
@khendofm_kenya.
@Wafu31173Wafula .
@wanyama_noah.
#Khendonews.
@MariaSTsehai @EmmausAskofu Cc wakina #Mwamakula hatuendeshwi na hisia za madaraka,uoga au tawala kwasabu tunaamini katika haki ya kiroho itakayo tafsiri haki ya kimwili maisha kwaujumla..#Askofu Mwamakula...Hongera na Taifa linahitaji huduma yako ya kiroho na kimwili kisha niseme Mungu azidi kukupa Afya.
https://t.co/FOuaHJAXKP
#Askofu #DesmondTutu #AfrikaKusini #Kifo #Afariki #Ukombozi #Afrika #Tanzania #KusinimwaAfrika #voa #voaswahili
familia za hao wenzetu,wamefanya hivyo kwasababu tu wanayo nguvu ya mamlaka,wana nafasi na wana mamlaka.
#Askofu Shoo mkuu wa KKKT ,Akitoa mahubori ya Christmas
@darmpya_ @zittokabwe @freemanmbowetz @EmmausMwamakula Nyie @darmpya_ kuweni na weledi, acheni ujinga, mnapaswa kujua ukurasa rasmi wa @EmmausAskofu na sio huyo parody lenu la @EmmausMwamakula, nyie ni chombo cha habar, mnapaswa muwe na hakika ya kile mnachpost , ukurasa rasmi ni huo wa pili wenye #askofu na hakuna maoni hayo

#Askofu na hitaji la #KatibaMpya
na Madhubuti, Asante Sana 🙏🙏tuendelee kudai👇
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Wakati @jgwajima alipotuita #Mbwa nikamtafakari anavyojiita #askofu, nikakumbuka maigizo aliyofanya na @makonda_paul ya kumuomba Askofu Pengo Msamaha,
nikagundua bado laana inamfuata,
subirini Feb 2021 bunge litapoendelea atakua anabwabwaja hovyo tu.
#RashidGwajima kaanza vibaya kwa kuwaita wapinzani mbwa? Wale mliopo karibu mkumbusheni #Mkapa alituita malofa na wapumbavu lakini sisi ndio tulimuaga uwanjani✍️
msikilize Halima Mdee @halimamdee Achana na yule mcheza video za ngono alafu anajiita #Askofu @Bgwajima ✌️✌️✌️✌️ kura zote ni dada yetu kipenzi @halimamdee 💪💪💪💪💪
https://t.co/jt7DnKNQVz
#Ndani ya miaka 10 jimbo la Kawe lilikuwa chini ya Halima na hakuna maendeleo yoyote safari hii wana Kawe wanasema wanataka maendeleo na ahadi za kweli wanaenda na #Askofu Gwajima.
#Kawe ya maendeleo
#Kawe ya Gwajima
@GwajimaKawe

#Yajayo yanafurahisha
#Askofu Gwajima nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa akiwajulia hali wananchi wa Kawe
#Kawe ya kijani
#Kawe ya Gwajima
@GwajimaKawe
Amani misingi yake ni haki,penye haki Amani hutawala
Mara nyingi tumekuwa tukisisitza juu ya Aman huku tukisahau kusisitiza kitu gani kinafanya amani iwepo
#ASKOFU #NIWEMUGIZI Jimbo la katoliki ngara
Last Seen Hashtags on Sotwe
ensest video
Seen from Turkey
gachansfwvideo
Seen from Colombia
budaksex
Seen from Indonesia
shemalemalaysia
Seen from Singapore
anxiouspanda()+filter:native_video
Seen from Turkey
duel
Seen from Italy
พี่เมย์
Seen from Thailand
hairyass
Seen from France
sanaol
Seen from United States
cortisnsfw
Seen from Australia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





















