Top Tweets for #BINADAMU
Walipanda kwenye mabega yetu wakapaa, lakini leo hii wanajiona wana mabaya.
#binadamu
#BINADAMU
Watu hawabadiliki bali hujidhihirisha uhalisia wao. Mara nyingi mtu hujidhihirisha apatapo kisomo, pesa au cheo. Vilevile mwenye fedha akiishiwa, au mwenye cheo kikimaliza, hudhirihikiwa na watu -na kutanabahi kuwa wengi walifuata kwake kitu na sio utu.
Tujifunze

Mtu unajitoa kwake halafu anakuchukulia for granted ukianza kumkataa anakuona yeye ndo anakuona jau sasa 😂 #binadamu
#Yaani #NusuMkate ni Muhimu kukiko Uhai wa #Youths of this Country?
Jamani #ODM na #Raila what you are doing to your people watu wanashangaa.
"Kweli Mkuki kwa Nguruwe ni Mtamu na kwa Binadamu ni Mchungu."
#OngondoWere alikuwa #Binadamu lakini #AlbertOjwang ni #Nguruwe AWUORO SANA.
#JusticeForAlbertOjwang
@AokoOtieno_ Mkuki kwa Nguruwe mtamu ila kwa Binadamu muchungu.
KITENDAWILI!!!!!
#Nguruwe ni nani?
#Binadamu ni nani?
Binadamu akikufahamu sana anaweza kukupenda au kukuchukia.
Binadamu pia asipokufahamu anaweza kukupenda au kukuchukia.
Uchaguzi ni wako upendwe au uchukiwe kwa njia ipi. 👊
#BINADAMU
@ChinoKiddTz Narejea kwenye ule mkwaju wako wa #BINADAMU uliweka wazi kila kitu mkuu lakin pia rizik unajua ndio mwanzo wa chuki acha tujipate tu tuwajue maadui zetu Mungu ametaka wao akina nan sas wakatae let's keep it up baluza baluza baluza🙌🙌🙌
Tukiwaona mmefanikiwa tunawapongeza online lakini offline tunawaombea mfeli.
Watakupa kiasi kidogo sana cha Haki zako na bado wataona Wamekupendelea na kusubiri Uwashukuru na Kuwanyenyekea. Hao ndo #Binadamu Ishi Nao.
Mafanikio Yako yapo Kwa watu wanaokuzunguka Kila siku ila watu hao ndio wa kwanza kukaa kitako na kuanza kukusema na kukubeza pia hata kama unafanya mambo mazurii kuwapita wao
#BINADAMU
• Kuna mti kwa ajili ya mapambo tu.
• Kuna mti haukupi chochote isipokuwa kivuli.
• Na kuna mti unakupa kivuli, mandhari nzuri yenye kuvutia na matunda yaliyoiva.
📌 Na watu ni kama Miti.🥀
#binadamu.
Eti “pumzi unanipa silipi ushuru… tuoneane huruma, tupunguzeni hujuma….”
#Binadamu, wimbo wa @kontwana ft @harmonize_tz . Enjoy!
#JamboMassawe #KituoChaWakenya
Wakati mkifurahi nyie na familia zenu mikono yenu iende kinywani bado mnataka sisi na familia zetu mikono yetu iende shavuni🤔
#Binadamu
Wanaokuzomea leo ndio hao hao Watakupigia Makofi kesho, amd the vice versa is True! #Binadamu
✨MKALI WA WIKI✨
Mashabiki wa muziki mmepiga kura na kuuchagua wimbo wa @kontawa8 #Binadamu akishirikiana na @harmonize_tz kuwa wimbo wa wiki 🔥
Endelea kuusikiliza kupitia Boomplay hapa ▶ https://t.co/qEeumVFhFi
#HomeOfMusic #Kontawa #Harmonize #SOTW #MkaliWaWiki

Binadamu Bwana Anaweza Kukupa Matibabu Na Kwenye Dua Zake Anakuombea Kwa Mungu Usipone 😎#Binadamu is out NOW on all digital platforms; https://t.co/voqDtq4XFW
✨BOOMFRESH✨
Brand new hit alert 🚨 Hii ni kutoka kwake @kontawa8 akisema #Binadamu akimshirikisha 🐘 @harmonize_tz 🔥
Stream kupitia app ya #Boomplay ▶ https://t.co/qEeumVEJPK
#HomeOfMusic #BoomFresh #Kontawa #NewMusic

✨BOOMFRESH✨
Pata motivation ya kipekee kutoka kwake @chinokidd kwenye wimbo wake mpya wa #Binadamu akimshirikisha @daway_tz 🚀
Stream wimbo huu kwenye app ya Boomplay ▶ https://t.co/8sGRyczWNp
#Boomplay #HomeOfMusic #ChinoKidd #NewMusic

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

















