Top Tweets for #ConBoi

Hip Hop family ni Jamal Coded ft #conboi gusa Link twende sawa Sasa โ๐ฟ๐ฎ๐ฟโโ๏ธ
https://t.co/xaPVvfZ2pV
Always i'm feeling good to share the Final drawing my favorite rapper @Conboicannabino
Weka oda yako sasa..whatsap no +255-767 496 155. โ
.
Available for commission โ๏ธ
.
#Methodyrn_arts #conboi #conboicanabino #canabino #tanzaniaart #charcoaldrawing #pencilart
#BURUDANI @Conboicannabino anasema wakati anakua hakuwa mtu ambaye anapenda sana shule.
#PlanetBongo #OFFAIR #FatJoe #ConBoi
#BURUDANI Rapa @Conboicannabino ameshea nasi sababu ya kutumia Cover yenye picha ya Familia yake kwenye project yake ya Sizo Phumelela.
#PlanetBongo #OFFAIR #Cannabino #ConBoi
#BURUDANI Rapa @Conboicannabino ametoa sababu za kukata mawasiliano na Fat Joe wa Marekani kwa sababu ya kuibiwa Account yake ya Instagram.
#PlanetBongo #OFFAIR #FatJoe #ConBoi
#BURUDANI Rapa @ConboiCannabino ametangaza ujio wake mpya baada ya 'Niko tayari' kufanya vizuri mwishoni mwa mwaka jana.
#PlanetBongo #OFFAIR #Conboi
#Trustory Jana #Conboi alitusapraiz kwenye interview #Planetbongo akiwa hivi(kidari wazi) ๐.Busara za zaidi ya 90% ofisini zikawa kwenda topless onair sio kweli .I was okey with it but walinishinda kwa hojaNzito na idadi yao,nikatamani folowaz mngekua karibu ๐ฅณ #WetalkMusic

#BURUDANI Sikia @Conboicannabino akichana kinyamwezi sayarini #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio
#PlanetBongo #OFFAIR #Conboi #Muziki
#BURUDANI Rapa @Conboicannabino ameshea nasi 'Experience' yake ya maisha ya soka ambayo ameyapitia akicheza na wachezaji wa Klabu za Uingereza #WestHamUnited na #TottenhamHotspur pia wachezaji wa Bongo kama Shomary Kapombe na Ramadhani Singano Messi.
#PlanetBongo #OFFAIR #Conboi #Muziki
#BURUDANI @Conboicannabino anaamini kuwa biashara ya muziki msanii anatakiwa aichukulie kama Mjasiriamali na sio Mwajiriwa kwa sababu ndio anaweza kuona faida yake na kupata pesa.
#PlanetBongo #OFFAIR #Conboi #Muziki #HipHop
#BURUDANI @Conboicannabino akifunguka kuhusu muziki wake na wasanii wa nje ya nchi wanavyochukulia kwa ukubwa tofauti na heshima anayoipata Tanzania.
#PlanetBongo #OFFAIR #Conboi #Muziki
#BURUDANI Rapa @Conboicannabino anasema mitandao ya kijamii inachangia vifo na kuwaharibu vijana kama hapa anavyozungumzia suala hilo.
Unakubaliana naye kwa hicho alichokisema?
#PlanetBongon #OFFAIR #Conboi #Muziki
#BURUDANI Rapa @Conboicannabino anasema anakula sana lakini Hanenepi na hajui kwanini.
Una kipi chakumshauri ili kupata mwili zaidi.?
#FridayNightLive #HipHop #Rap #Conboi
#Conboi X Bensoul_Niko tayari๐ฅ๐๐ฏ
Maisha sio Movie Huwezi Edit../
Mungu alishatoa Baraka Already,Im so Ready../
Huyu jamaa "MexCortez" ametoa nyimbo ya Diss kwa Young Lunya a.k.a Mbuzi. Ikitokea Lunya akaijibu ile diss track aisee nitaamini kweli Lunya amekomaa kmmk, uyu mex cortez ni noma sana ๐๐ฟ๐ฅ๐ฅ

Last Seen Hashtags on Sotwe
naturalwomen
Seen from Italy
MireGoji
Seen from United Arab Emirates
anxiouspanda()
Seen from Netherlands
minichat((((***))))**+filter:native_video
42SecondsBook
Seen from United States
minichat
Seen from United States
YEtra
Seen from United States
zenotiger
Seen from Vietnam
aweksekolah
Seen from Malaysia
todoroki #yaoi #deku
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
















