Top Tweets for #DicksonJob
We have officially reached the halfway point of the journey towards #2030, which is the limit for the implementation of the #GlobalGoals π
Let's continue to take more steps to achieve these Goals πͺ#MaleInvolvement
#DicksonJob UN SDGs Champion β
Defender @Yanga1935
#SDGsinTZ

Katika uwanja wa Jamhuri Morogoro, leo saa 10:00 jioni utachezwa mchezo wa hisani, timu Dickson Job dhidi ya timu Shomari Kibwana.
Huu ukiwa ni msimu wa pili wa wape tabasamu.
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia #AzamSports2HD.
#Wapetabasamu #Dicksonjob #Kibwanashomari

NENO LA DICKSON JOB KWA KOCHA NABI
Beki kitasa wa @YoungAfricansEN @jobdick05 ametoa neno lake kwa kocha Nasreddine Nabi baada ya kuondoka kwa mafanikio ndani ya klabu hiyo.
Usikose kutazana #5Sports kila Jumatatu, saa 3:00 Usiku, #EastAfricaTV
#NasreddineNabi #DicksonJob
Beki @jobdick05 amesema si kweli kwamba aliogopa kupiga penati kwenye mchezo wa marudiano wa fainali CAFCC nchini Algeria, na hapa anaeleza mazingira yalivyokuwa.
#5Sports #Soka #DicksonJob
Beki kisiki wa klabu ya @yangasc1935 @jobdick05 leo kwenye #5Sports amefunguka kuelekea mchezo wa hisani wa "Wape Tabasamu" mjini Morogoro amefunguka kuhusu ugumu wa msimu uliopita na ule wa 2021/22 akisema msimu uliopita ulikuwa mgumu zaidi.
#DicksonJob #Soka #WapeTabasamu
Baadhi ya wachezaji wa Klabu ya soka ya Yanga Kibwana Shomari , Abutwalib Mshery na Dickson Job wakiwa katika studio zetu 107.3 UFM wakitazama namna tunavyorusha matangazo yetu ya redio leo Ijumaa Juni 23, 2023.
#UFMUpdates #KibwanaShomari #AbdultwalibMshery #DicksonJob
Mlinzi wa kati wa Young Africans Dickson Job ameshinda tuzo ya Beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23.
Amewazidi Inonga, Mwamnyeto, Kapombe na Mohamed Hussein.
#FazaNationWorldWide πππ #DicksonJob #Inonga #Mwamnyeto #Kapombe #MohamedHussein #Yanga #YangaSC #FNWW πππ

Hongera sana #DicksonJob chezaji la CAF kwa medali hii jamani na kututembelea ofisini kwetu na kujadiliana leo kuhusu Kampeni yako na Kibwana Shomary ya Uzazi salama kwa Kizazi Bora.
@yangasc1935 @YangaSCEnglish @caf

ββ¦tutawapa furahaβ¦ tutapambana kwa asilimia 100β β Ahadi kutoka kwa wachezaji wa Yanga, Dickson Job na Ibrahim Abdullah βBaccaβ kuelekea mchezo wa fainali ya #CAFCC dhidi ya USM Alger.
#WhyNotUs #KwaniniSiyoSisi #YangaSC @yangasc @alikamwe #DicksonJob #IbrahimBacca #WachezajiYanga

MABOSI SIMBA WAMTAKA DICKSON JOB
Tetesi nzito kutoka kwa Kachero wa Kimataifa @abissay_stephen ndani ya #Kipenga leo ni hii ya vigogo wa @SimbaSCTanzania kuhitaji saini ya beki Dickson Job kutoka @yangasc1935
#Usajili #DicksonJob #Simba #Yanga
βοΈ#Dicksonjob
Ni hisia nzuri isiyozoeleka pale unapopata nafasi ya kuvaa jezi ya timu ya taifa na kuiwakilisha nchi . Kila hatua ni nafasi nzuri ya kujifunza na kufanya vizuri zaidi mbeleni . Asante kwa Watanzania kwa kuwa na sisi bega kwa bega siku zote !! Bright Future Ahead ππΌ

@yangasc1935 The defensive structure maintained very calm and state of composure. Absolutely perfect #DicksonJob #Bangala ππ
Who is the best Young ball playing defender in the league? Forget about that superb goal clearing save, the young man is a baller and I would like to see him playing in the holding role kwenye mildfield, hazina kubwa Kwa Yanga na Taifa starsβ¨. #DicksonJob #KariakooDerby

High passing accuracy since hapotezi mipira ovyo,footwork & uwezo mkubwa wa kupandisha timu hapa recall move ya goli la (2) jana, uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu licha kuwa na kimo kifupi, he has a great potential of becoming a top holding Mildfielder if needed.#DicksonJob

Well Done @SerengetiBoys Respect To Upcoming Mtibwa talents #kibabage #DicksonJob #Kibwana #goalmachineMuksinMakameMalima @Tanfootball

Last Seen Hashtags on Sotwe
CapacidadDeSerFeliz
Seen from United States
momson or #exny or #zoophilia or #zopositivity or #nolimit() +filter:native_video
Seen from Netherlands
blowjob
Seen from Korea
ΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈ΄ΰΉΰΈ
Seen from Thailand
bucak
Seen from Turkey
lesbian
incest mom
Seen from Germany
algechienne
Seen from Belgium
hijabtobrut
Seen from Indonesia
Ω
ΨΊΨ±Ψ¨ΩΩ
Seen from Algeria
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers














