Top Tweets for #IBADA
What a beautiful time we had in God's presence last Sunday!
The good news? He's not done yet.
Join us this Sunday for another life-transforming encounter. Come with an open heart, invite a friend, and let's experience God together.🔥🔥
We can't wait to welcome you! 💺
#ibada
📌 La #connaissance n'est pas "plus importante" au sens où l'#adoration serait facultative, mais elle est prioritaire.
L'ordre utilisé par l'Imam Ali montre une progression :
1. Le démon s'attaque d'abord à la connaissance (#Marifa)
2. Pour mieux briser l'élan (#Ibada).
⬇️
ETI IBADA HAZINA MASHARTI YEYOTE 😂
>> Ila nyie masufy ni mamburulaa kweli yaani ni sifury bin zeero
HEBU JARIBU KUFICHA UJINGA WAKO BASI WE MWABUDU WAFU
🫴kwahiyo hata #mkristo akifanya dhikri au akatoa sadaia au akafunga ramadhani inahesabika ni #ibada na atalipwa⁉️👀 na ataingia peponi⁉️
🫴_kwahiyo hata #mshirikina ibada zake Allah anazikubali...na washirikina wataingia peponi⁉️
_na mwenye kufanya dhikri kwa ria pia atalipwa inahesabika ni ibada⁉️
🫴_kwahiyo hata mwenye kuzua jambo ktk dini...mfano khitma au akasalo rakaa 6 za alfajiri badala ya 2 naye atalipwa na ALLAH kisa tu ni IBADA⁉️
Kila #ibada Ktk Uislamu ina sharti ..kasome dini acha ujinga na kuropokwa...ficha ujinga wako kwa watu
MASHARTI YA KILA IBADA
1_uislamu [ kinyumechake kafiri ibada zake hazikubaliwi kwakua sheria haizitambui kama ni ibada]
2_ikhlaasw[ kinyume chake ni ria au shirk___ibada haikubaliwi ..kwakua sheria haitambuia ibada ikiwa pamoja na shirk)
3_mutabaa(kumfata mtume)...[ kinyume chake ni bidaa...bidaa ni uzushi ambao mtume kasema "kila uzushi ni upotevu na ni motoni" na pia akasema "mwenye kuzusha ktk dini jambo lake halikubaliwi"
NYIE KACHEZENI MZIKI MOTO NA BAIKOKO HUKO MAULIDINI ACHENI KUTIA WAISLAMU UJINGA WENU 😱😱
@HashimuMok23111 @MovingOto @BlackWolfBeast @abusumayyah_o @Rahim_Meghji @khilafah8 @IsaRouhan13797 @HabiibYahyaa @Mbwana_1 @msouthherbs Sasa si uyaseme hayo masharti ya kufanya Dhikri.
Mbona mnakimbilia tu kukufulisha badala ya kutoa majibu ya hoja.
Sema masharti ni haya na haya basi yalete basi.
ETI IBADA HAZINA MASHARTI YEYOTE 😂
>> Ila nyie masufy ni mamburulaa kweli yaani ni sifury bin zeero
🫴kwahiyo hata #mkristo akifanya dhikri au akatoa sadaia au akafunga ramadhani inahesabika ni #ibada na atalipwa⁉️👀 na ataingia peponi⁉️
🫴_kwahiyo hata #mshirikina ibada zake Allah anazikubali...na washirikina wataingia peponi⁉️
_na mwenye kufanya dhikri kwa ria pia atalipwa inahesabika ni ibada⁉️
🫴_kwahiyo hata mwenye kuzua jambo ktk dini...mfano khitma au akasalo rakaa 6 za alfajiri badala ya 2 naye atalipwa na ALLAH kisa tu ni IBADA⁉️
Kila #ibada Ktk Uislamu ina sharti ..kasome dini acha ujinga na kuropokwa...ficha ujinga wako kwa watu
MASHARTI YA KILA IBADA
1_uislamu [ kinyumechake kafiri ibada zake hazikubaliwi kwakua sheria haizitambui kama ni ibada]
2_ikhlaasw[ kinyume chake ni ria au shirk___ibada haikubaliwi ..kwakua sheria haitambuia ibada ikiwa pamoja na shirk)
3_mutabaa(kumfata mtume)...[ kinyume chake ni bidaa...bidaa ni uzushi ambao mtume kasema "kila uzushi ni upotevu na ni motoni" na pia akasema "mwenye kuzusha ktk dini jambo lake halikubaliwi"
NYIE KACHEZENI MZIKI MOTO NA BAIKOKO HUKO MAULIDINI ACHENI KUTIA WAISLAMU UJINGA WENU 😱😱
#Nuru47Jumapili
#HapaNdipo
@EvahMwalili
Bwana asifiwe Mama taifa 🇰🇪
Leo nashiriki Salvation Army Tala kithimani Kangundo Chini ya lieutenant Fred Musili na lieutenant linah musili #Ibada itaingozwa na sisi wazee wa kanisa
Mimi Ndio programer.. Tubebe bibilia zetu
SAVULI 124:

Karibisho la Ibada...
Leo unashiriki service wapi? Tufunge mwezi kwa shukrani, Zaburi 124, kama Mungu asingalikua upande wako!!!
@EvahMwalili @bonfacemakanda
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo

I had a nightmare about a young woman live streaming from inside a Nazi gas chamber. It felt SO real that I woke up feeling like I was suffocating.
Then I remembered it is what Palestinians in Gaza have done for 22+ months.
None of us can say we did not know.
#ibada
@EvahMwalili #Neno..... SONGA MBELE KWA UJASIRI. Matendo 9:20-30....wengi wataongea, sauti tofauti zitakufikia___ TALA KITHIMANI ushangu nikijiadaa kuelekea kanisani salvation Army Niko ndani ya #Ibada Tukutane Galilaya! #nuru47jumapili
KAMA #KUTOKUSWALI AU KUFANYA #IBADA NDIO KUPATA RIZKI KWAKUA UTAKUA NA MUDA WA KUTOSHA KUTAFUTA RIZK 🌶🏛📛
🫴MBONA SASA UNAMSUBIRIA ANAYESWALI ATOKE AJE AKUPE MIA 500 AU ELFU⁉️
🔹️kama unaona wakienda kusali mara 5 kwa siku ni kupoteza mda...nenda mtaani kaendeleee kupambana
_sass kwanini unamsubiri nje...ingia kachukue na wewe hizo pesa ndani msikitini
🔹️unasimama pembezoni mwa msikiti huingii kusali eti namsubiri jamaa atoke nina shida naye
🫴SI UENDE UKATAFUTE HIZO MALI KAMA UNAONA MWENYE KUSALI SANA ANAKUA MASKINI
🔹️HALAF MOST WA HAWA WANAOJIFANYA HAMNAZO KICHWANI SAMPULI HII
🫳huwa siku wakipatwa na matatizo ya ukata wa pesa mahali pa kuombea msaada ni MSIKITINI
🔹️KWANINI USIENDE HUKO MTAANI UKAOMBE KWA WACHAKARIKAJI WENZIO WAKUPE⁉️
NB; USALI AU USISALI RIKZI UTAPATA TU KWA KADRI YA ALLAH ALIVYOKUANDIKIA
🔹️kwahiyo kwenye rizk Allah hajamnyima mtu kwakua hasali na wala hamnyimi anayesimamisha swala kisa kapunguza muda wa kutafuta
ALLAH ANAMRUZUKU ANAYESWALI KWA HEKMA NA HUMNYIMA KWA HEKMA NA ZOTE NI KWA FAIDA
🔹️huenda kunyimwa kwake ni kuzuri maana angepewa angekua mtenda dhambi kupitia hizo mali pamoja na kuendelea kuabudu
🔹️AU huende kunyimwa kwake pia ni kuzuri kwake maana asingeabudu tena huyo maana unaabudu nini wakati unacho??
#Ibada Jumapili hii katika Kanisa la WRM - Kivule Matembele ya Pili, Nabii Nicolaus Suguye atawavisha waumini VAZI LAKE LENYE MAAJABU YA KINABII!
Katika Luka 8:43-44, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa miaka 12 aliponywa kwa kugusa upindo wa vazi la Yesu. Je, unahitaji muujiza katika afya, ndoa, uchumi au biashara yako?
Ibada hii ya kupokea muujiza wako Jumapili itaanza Saa 12:00 Asubuhi hadi Saa 6 mchana, Ibada ya Pili itaanza saa 8:00 Mchana na kuendelea.
@EvahMwalili @MarthaBaraka @Radio47KE Wewe Ni Mungu wetu, ni Mungu unayeweza. @MarthaBaraka
Kitengela behind eastmatt supermarket tuko ndani ya #Ibada
@EvahMwalili @Radio47KE #nuru47jumapili #nuru47jumapili
Avui, el diari Regió 7 es fa ressò del projecte compartit amb el CAP: un treball conjunt teixit de moltes complicitats. 📚 Gràcies! #Fesmana #Ibada #EspaiCriança
#BiblioCAP @bibliotequesXBM @icscatcentral @ajnavarcles #bibliotequexbm @bibliotequescat


#Makambi 2024 - #Nitakwenda na Familia yangu.
Karibu katika hitimisho la makambi ya #Galilaya Jumamosi ya kesho #Agosti, 24.
#Ibada itaanza saa 02:00 Asbh Hadi 11:00 Jioni.
Kwaya ya #KibadaSDA itakuwepo, katika kutoa huduma..

Yadda Allah Yake Nuna Tausayi Da Girmama Manzon Allah S.A.W (2) https://t.co/fBNV2TX1KO #DausayinMusulunci #Ibada #Madina
Ikiwa ni pamoja na muendelezo wa Sikukuu ya Vibanda #Makambi 2024 yenye motto Usemao #Nitakwenda na Familia yangu.
Jumamosi ya tarehe 03-08-2024 #Kibada SDA Choir itashiriki katika #Ibada ya kufunga makambi katika Kanisa la #MJIMWEMA SDA.
KARIBUNI WOTE

Last Seen Hashtags on Sotwe
AHNHYOSEOP
Seen from United States
AILQL
Seen from United States
유치원꾹양도
Seen from United States
偷拍直男()* filter:videos()*
Seen from Korea
ลูกเขยเย็ดแม่ยาย
Seen from Thailand
DOA6LR
Seen from Thailand
latinafarts
Seen from Germany
ihopethisregisters
Seen from United States
บางวัว
Seen from Thailand
5ifthelementproductions
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

















