Top Tweets for #MITIHANI
#Mwongozo Kutoka kwa #Salaf Kuhusu #Subira na Kutolalamika Wakati wa #Mitihani๐๐ฆ
ูุฏู ุงูุณูู ูู ุงูุตุจุฑ ูุนุฏู
ุงูุดููู ุนูุฏ ุงูู
ุตุงุฆุจ
ุฑูู ุงูุฐูุจู ูู ุณูุฑ ุฃุนูุงู
ุงููุจูุงุก ุงูุฑูุงูุงุช ุงูุชุงููุฉ ุงูุชู ุชูุจูููู ุตุจุฑ ุงูุณูู ุนูุฏ ุงูู
ุตุงุฆุจุ ูุชุฑููู
ููุดููู:
Imepokelewa na Al-Dhahabi katika Siyar Aโlaam al-Nubalaa, riwaya zifuatazo zikionesha namna Salaf walivyokuwa na #subira wakati wa #mitihani na hawakulalamika:
1. Shaqeeq al-#Balkhiy amesema:
"Mwenye kulalamika kuhusu msiba wake kwa asiyekuwa Allaah, hatapata ladha ya #utiifu."
(Siyar 9/315)๐
2. Hamdoon al-Qassaar amesema:
"Hakuna anayevunjika moyo kutokana na msiba ila yule anayemtilia shaka #Mola wake."
(Siyar 13/51)๐
3. Al-Mugheerah amesema:
"Jicho la al-Ahnaf lilipotea, na al-Ahnaf akasema: โNililipoteza miaka arobaini iliyopita, na sijawahi kulalamika kwa mtu yeyote.โ"
(Siyar 4/92)๐
4. Al-Asmaโiy amesema:
"Al-Fudhayl alimuona mtu analalamika kwa mtu mwingine, akamwambia: โEwe fulani! Je, unamlalamikia ambaye anakuhurumia (Allaah) kwa yule ambaye hakuhurumii (binadamu)?โ"
(Siyar 8/439)๐
Mafhum ๐ค:
Maneno haya kutoka kwa watu #wema waliotangulia (Salaf) yanatufundisha kuwa subira ya kweli ni kukubali majaribio kutoka kwa Allaah bila #kulalamika kwa viumbe, bali kuelekea kwa Allaah kwa unyenyekevu na #dua.

FANYA #SUBRA JUU YA #MITIHANI YA ALLAH ๐๐ฆ
>> KWANI ALLAH ANAKUTENGENEZEA PEPO YAKO KUPITIA MTIHANI HUO,
๐ซดJAPO WEWE UNAWAZA DUNIA YAKO SANA KUA ITAHARIBIKA KWASABABU YA MTIHANI HUO
ุงููููฐูู ุฅูุฐูุง ุงุจูุชูููุงูู ููููููุณู ููุฃูููููู ููุจูุบูุถูููุ
ูููููููู ููููุฑูููุนููู ุฏูุฑูุฌูุงุชู ููู ุงููุฌููููุฉู ููุง ุชูุจูููุบูููุง ุจูุฃูุนูู
ูุงูููู.
Allah anapokujaribu na mitihani(misukosuko na mabalaa), si kwa sababu anakuchukia,
๐ซดbali ni ili akupandishe daraja #Peponi ambazo usingeweza kuzipata kwa matendo yako pekee.

This last five days have been a hell on earth for me...
I've just been told I have leukaemia.
Nimeanza tiba rasmi.
#Mitihani
Rais wa Serikali ya wanafunzi Amenye (AMSO), Ndugu FURAHA GEORGE HASSAN, Anawatakia Heri ya mitihani watahiniwa wote wa mtihani wa mwisho wa muhula wa II 2023.
Na ikawe Heri!
#bestwishes #heri #mitihani #endofsemester #amenye

Tambua kuwa Allah yupo na yeye ndie wa kuombwa usaidizi kwani yeye ndio Muamuzi wa mwisho, mfalme wa mbingu na ardhi.
#allah #faraja #amani #tegemeo #moyo #msaada #matatizo #shida #upweke #mitihani #imaanmedia #ukumbusho #islamicftz

@BinMtanzania @Hakingowi @millardayo @BidugaHilary @masoudkipanya @Vicent_mashinji @YerickoNyerereT @EA_Bunge @victoriacharlz @chongolo_daniel @neemalugangira @TheRealMugoya @josephatgwajima @GwajimaKawe @HKigwangalla @ezekiel_kamwaga @MbelwaK @Arden_Kitomari @Semkae #MITIHANI
Kwa uhakika mafundisho aliyotupatia @Shaykh_Issa na Masheikh wetu wengine, dunia imekutwa na mtihani mkubwa. Tumuombe Allah SWT nusura, lakini na sisi wenyewe tufanye jitihada. Kwa uhakika hali inatisha.
Kwa hii #MITIHANI inayo tungwa na #CBE saizi hatawakiunganawanafunziwa #DIT,#UDSM, #UDOM wakapewawafanyekama #INDIVIDUAL #ASSIGNMENTS lazima tu watapata #SAPPU ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ
If you argue, let's argue with arguments and the arguments should be basic ๐ง

#MITIHANI ya @Nashemcee NI MOVIE KAMILI.
Oyaa kichaa wangu @incredible_nory em washirikishe @BongoHoodz @RrrahC muongee na maalim iletwe kwenye tambara.
Ina mafunzo mengi sana mule.
Hii ndio Ngoma yangu pendwa kabisa kutoka kwa Maalim @Nashemcee, Zuzu mwenyewe analijua hilo.
#MITIHANI ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ถ
@Roma_Mkatoliki #Mitihani lazima iwepo ili waja wapate kufaulu, lazima tutahiniwe kwa namna tofauti tofauti.
Usikose kuungana nasi katika #VijanaWetu leo saa 3 kamili usiku tukiangazia "Jinsi ya kukabiliana na homa ya mtihani" na mgeni wetu Hussein Mnyagatwa, mjumbe wa Idara ya Elimu, Tamsya Taifa.
Allaah awasahilishie vijana wote mitihani yao
#AfricaTV2 #LIVE #VijanaWetu #Mitihani

Usipagawe, usichahawe, utapata jibu yote ni mitahani,
Mitihani ni Moja ya Maisha yetu ya Kila siku, Tuifanye Majibu yapo๐ท
Hii ni Nyimbo moja naipenda sana inaitwa #MITIHANI ya msanii wa Hip Hop anaitwa Nash Mc Zuzu @Nashemcee Kaka ile nyimbo heshima kwako๐ช๐ฟ
Kila kitu hutokea kwasababu, hata kama hukufikilia hivyo kwa wakati huo. Tazama Laura ndani ya #TBurudani.
#laura #mitihani #tburudani

Last Seen Hashtags on Sotwe
็ดซ่ฒๅ่ฑ่ฑtxxๅ
Seen from Malaysia
candid
Seen from Argentina
ูููุฑุนูุงููู
Seen from France
guy fuck big shemale
ebony fucked
Seen from Kenya
flingster #gay
Seen from United States
anxiouspanda(*****)************* +filter:native_video
Seen from Singapore
ใใฑใขใณใฆใใคใastๅๅ ่กจๆ
Seen from United States
minichat
snapchat
Seen from Netherlands
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers


















