Top Tweets for #Mitandaoni
TANZANIA YAPAA SOKA LA WANAWAKE DUNIANI
FIFA imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa ambayo yamepanda kwa kasi katika viwango vya soka la wanawake duniani kama anavyoripoti hapa Moses Mohamed kupitia kipengele cha #Mitandaoni cha #AzamNews ya #UTV
VIWANJANI | @abuuyusuftz anatupa zilizobamba mitandaoni katika kipindi cha #Viwanja ambacho huruka #AzamSports1HD kuanzia saa 3:00 asubuhi Jumatatu mpaka Ijumaa.
✍️ @jairomtitu3
#Mitandaoni
VIWANJANI | @abuuyusuftz anatupa zilizobamba mitandaoni katika kipindi cha #Viwanja ambacho huruka #AzamSports1HD kuanzia saa 3:00 asubuhi Jumatatu mpaka Ijumaa.
✍️ @jairomtitu3
#Mitandaoni
Timu kunyang’anyana wachezaji NBC Premier League, je, vipaji vimeisha au uvivu wa kutafuta vipaji?
Dondosha maoni yako nasi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mitandaoni

Godlisten Malisa (Mtetezi wa Haki za Kijamii): Tokea Sheria ya Cyber Crime ianzishwe ni Watu wangapi wameshafikishwa Mahakamani kwa 'kupost' picha za utupu au kutukana Watu mtandaoni?
Mpaka unaweza kusema Sheria hiyo ilitungwa kwa ajili ya Wakosoaji wa #Mitandaoni. Kuna wadada na wakaka wanaocheza picha za utupu huko Mtandaoni lakini hawachukuliwi hatua
Victims ni Mimi, Mdude, Yericko na Wengine
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
#FUNGUKA: Tuandikie comment yako, halafu sisi tutaruka nayo live ndani ya #EastAfricaTV saa 9:00 alasiri.
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Funguka #HainaKuchoka #Mitandaoni #CAF

#FUNGUKA: Tuandikie comment yako, halafu sisi tutaruka nayo live ndani ya #EastAfricaTV saa 9:00 alasiri.
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Funguka #HainaKuchoka #Mitandaoni

SOLIDARITY FOREVER: “Je, watafika nusu fainali?”
Ni swali kutoka #CAF likiletwa kwakona #MosesKwindi kupitia kipengele cha #mitandaoni ndani ya #AzamNews
Kumbuka Ijumaa ni Simba vs Al Ahly na Jumamosi ni Yanga vs Mamelodi Sundowns, zote LIVE #AzamSports2HD
#SolidarityForever #MshikamanoDaima #NiWakatiWaTanzania #UzalendoKwanza #SimbaNaYangaFahariYetu #NiZamuYetu #SimbaSC #CAFChampionsLeague #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #MudaDay #SimuZiite
#Mitandaoni
Je, ruzuku zinazotolewa kwa ajili ya kusaidia kuinua kilimo duniani hushindwa kutimiza lengo ipasavyo kwa wakulima wadogo?
@WBTanzania imetoa ripoti ya kina kuhusu hilo.
Huyu hapa @MosesKwindi
Tupe maoni kutokana na uzoefu wako iwapo nawe ni mkulima hapa nchini.
#Mitandaoni
Mwandishi wa habari yupi wa kike amekuvutia zaidi katika kipindi cha miaka 36?
Miongoni mwa waliowavutia wenzako, ni hawa hapa:
@MosesKwindi
3️⃣ Usiamini watu usio wajua #mitandaoni
Nakuambia Tena Usiamini watu kupitia mitandaoni hapa kwetu Tanzania nadhani kila mtu analo SoMo la usiwaamini watu usio wajua mitandaoni
lakini kutokana na utandawazi ni ngumu Sana kumjua mwema au muovu Nani maana wote Wana sura moja😔.

#IPU || #IPUPresident || 🇹🇿 || #Mitandaoni
Haya hapa maoni ya wananchi kuhusu ushindi wa Spika wa @BungeTanzania Mhe. @TuliaAckson katika Umoja Wa Mabunge ya Dunia #IPU yakisomwa na @MosesKwindi katika #AzamNews
@SuluhuSamia @TZMsemajiMkuu @TuliaAckson @HoyceTemu @mfa_tanzania

Naomba #Retweet Iwafikie wale Mabingwa wa Kulaumu #MAKOCHA a.k.a
Hii ni yetu sote #Makocha Wa #MITANDAONI njoo Tuoneshane ufundi wa Kupanga Kikosi #FPL na Uvune Mapesa,Hii kwa #MASHABIKI WA #TEAM ZOOOOOOTE
👉Kiingilio 50,000/= Hii Pesa #Yote inatumika #Kutoa Zawad kwa Mshind wa Kila Mwez na #Mshindi wa Mwisho wa #Msimu
👉WhatsApp 0714336827 kuungwa grp.
#FPL2023/2024
#CFCTZ

Tunajua umekuwa ukijiuliza namna gani unaweza kukuza account zako za mitandao ya kijamii.
Hizi hapa ni baadhi ya njia unazoweza kuzitumia kukuza mitandao Yako.
#Mitandaoni #njiasahihi #SocialnaMimi #kidigital
#Mitandaoni
Siku ya Wazazi Duniani na tahadhari iliyotolewa na @WBTanzania kuhusu tishio la ongezeko la vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza.
@MosesKwindi anakuletea maoni yako kuhusu siku ya wazazi na undani wa taarifa ya @WBTanzania
Repoti iliyoandaliwa na Jukwaa la Economic Impact inaonyesha unyanyasaji wa kijinsia wa watoto mitandaoni unaongezeka kwa kasi. Ungana na mwandishi wetu wa Kenya kupata maelezo zaidi...
#repoti #tatizo #unyanyasaji #mitandaoni #kijinsia #watoto #voa #voaswahili
#dunianileo
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers