Top Tweets for #UAMSHO
UNAESHINDANA UTAPASUKA KIFUA! βπ½
Huu ni MKONO WA MUNGU β UAMSHO TANZANIA πΉπΏ
#Gwajima #Uamsho #TanzaniaInainuka" π₯
#OKTOBER2025
@MariaSTsehai @mangekimambi @TanzYetu
SADAKA ya mama mjane
Marko 12: 41-44
iliitoa kwa IMANI & UPENDO mkubwa, haikutokana na ziada ya mali zake kama wale matajiri.
#uamshoβ
Oya Wazee Marehemu asemwi vibaya... ila siku 95 baadhi ya mashekhe wa #UAMSHO wapo huru, Firauni atabaki kuwa tu Firauni.
Fikiria Unakaa Miaka 9+ halafu wanakwambia hakuna kesi wamefuta mashtaka yani kwakifupi hakuna Ushahidi Just Imagine Umekaa Mahabusu Miaka 9+!!!!! Hii ndio Tz Bana karibu Ujionee Maajabu Mengi Zaidi #UAMSHO
Haya ndo masharti ya kuachiwa kwa Uamsho, msikilize Sheikh Mselem akieleza. #uamsho #zanzibar https://t.co/pVyskPNlce
@fatma_karume
@Jchris66283712 @MariaSTsehai @jmkikwete @ridhiwankikwete Kikwete ana mengi sana wa kushtakiwa kabisa, kwanza rushwa ya public funds za #KatibaMpya, #TegetaEscrow, Richmond, #Uamsho. Huyu sio wa kuachwa kabisa manyang'au
@Shura_ya_maimam Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufungua #UkurasaMpya . Chanzo cha mashtaka yao haramu mwaka 2014 ni JUMIKI kutaka #MamlakaKamiliYaZanzibar katika #KatibaMpya #uamsho ukabatizwa jina ovu kuwa "ugaidi". Pamoja na madhila na hila msirudi nyuma kudai haki na adili
#WaipelekaUpyaRohoYaKoEeBwanaNaweWaufanyaUpyaUsoWaNchi Roho wa Mungu aendelee kutuongoza kuandika katika #UkurasaMpya uliofunguliwa kwa nchi yetu. Milango ya magereza ifunguliwe walioonewa wawe huru wakiwemo Masheikh wa #Uamsho #HekimaNaHaki #HakiHuinuaTaifa
Asilimi 99% inatuona waislamu tu ndyo magaidi watawala kwasabbu ya hili ndyo mpaka leo #Uamsho wako ndani ifike wakati hii dhulma muache watawala wetu
#FreeUamsho
βKatika Sheria ya ugaidi asilimi 99 , wanaomizwa na sheria hiyo wamekuwa ni Waislamu na hakuna kesi hata moja iliyowahi kuwasilishwa ushahidi wake, kusikilizwa na kutolewa hukumuβ. - Sheikh Ponda Issa Ponda #FreeUamsho #ChangeTanzania

@tanpol @SimonMsenga @RadioOneStereo @Mwanahalisitz @swahilitimes @MwananchiNews @JamiiForums @millardayo @Nipashetz @HabariLeo @azamtvtz @TBConlineTZ Imuume Kama inavyomuuma Huyu Shehe Wa #Uamsho AliyempotezaMama Yake Juzi Juzi Hapa.
.@SuluhuSamia anaweza, kama atataka, kuongea na ofisi ya DPP na kuwataka aidha wathibitishe mashtaka yao ya ugaidi dhidi ya masheikh wa #Uamsho (kitu ambacho tunajua haiwezi) au wa-drop charges zao za kipuuzi ili watu hawa warudi uraiani na kuungana na wapendwa wao.
.@MagufuliJP aliwaachia huru wabakaji (akina Babu Seya) au alifanya washtakiwa kuwa huru kwa kuwalazimisha waendesha mashtaka ku-drop charges, @SuluhuSamia anaweza kufanya la pili katika kesi ya masheikh wa #Uamsho.
Wenye makosa (Raia wa Ethiopia) wameruhusiwa kuondoka gerezani kwa kipengele cha "udugu" #Uamsho ambao hawana makosa wanaendelea kusota ndani (kinyume na sheria) kwa kipengele cha "Ukoloni". Mola wetu tunaendelea kukuomba uwape ulinzi wako ndugu zetu wa Uamsho na watu wengine...

Last Seen Hashtags on Sotwe
kareena kapoor hot
Seen from Malaysia
minichat () +filter:native_video since:2026-09-27
Seen from Singapore
ashleygraham #nsfw
minichat
Seen from United Kingdom
public beach
Seen from Turkey
findomcaption
Seen from United States
minichat ((****)()()())**************** filter:videos
Seen from Turkey
minichat()
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

















