Top Tweets for #freemdude
Mara ya kwanza nimeonana na bro Mwaipaya ilikuwa mahakama kuu ya mbeya siku Mdude alipoachiwa tulipiga naye picha ,na pia Mdude nilionana naye Siku Mh Lissu anazindua No reform No Election Mbeya, nilipiga naye picha pia. Baada ya muda #FreeMdude na #FreeMwaipaya wote hawapo ๐ญ

#FreeTunduLissu
#FreeMdude
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania
Msiogope tumeshashinda tunawahitaji wapambanaji uraiani tufurahie ushindi wetu! ๐ฅ
Bi Msumi anajua anashupaza shingo tu!
#SamiaMustGo

@HildaNewton21 @Whisperpicx @solothang Amenyooka Ukweli ni silaha hatari zaidi duniani Na ndio silaha pekee walionayo wananchi.
SEMA UKWELI,
SHUHUDIA UKWELI,
ISHI UKWELI.
Live Long @TunduLisu.
#FreePolepole
#FreeMdude
#FreeSoka
#kipanya
#FreeMethod
#FreeAll
Shangazi kaja,Ila kaja vibaya.
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Umajipa umaarufu wa mamlaka kwakuzima ndoto za vijana wenye ndoto na malengo siku zote wewe na familia yako hizi damu,na hawa vijana wanao pitia mateso kwaajili ya furaha yako ya muda mfupi vikutese milele wewe nakizazi chako
#freesoka
#freemdude
#freepolepole
#free All fighters
#FreePolepole #FreeJohnHeche #FreeSoka #FreeMdude #FreeNiffer - and many others. Sadly, the list will keep growing until justice is truly served. ๐น๐ฟ If you still think all is well in Tanzania, you are part of the problem or not well informed. Some of us have hearts and will speak against the ongoing injustices. Iโve filtered most degrading words on my social media, yet some inappropriate name-calling-and organized paid comments still appear, simply because I exercised my First Amendment ๐บ๐ธ right to peaceful protest and to stand for justice and human rights.
Some of these paid individuals, including the so-called Getrude Mollel and others affiliated with CCM, have attempted to assassinate my character online through insults and harassment. Iโve always maintained a respectable name-yet this is what truth-telling attracts in todayโs Tanzania.
Even more disturbing are reports like phone threats made to Maxence Melo, founder of Jamii Forums ๐น๐ฟ - openly threats that people could be abducted while the public posts for a minute and then moves on. Some of these criminals have even bragged about kidnapping and rape like the one I just blocked but sharing here to expose them.
In the midst of ongoing enforced disappearances - most recently Niffer - and with elections just two days away, Tanzania is showing every sign of a failing state.
Tanzania needs a rebirth. The current regime doesnโt seem to provide answers or even respect diplomacy. Intimidation isnโt the answer anymore. Free the detained. Stop ruling like a mob. ENOUGH.
@StateDept @SFRCdems @SenateForeign @FBI @UNHumanRights @amnestyusa @hrw @washingtonpost @nytimes @CNN @BBCWorld @AJEnglish @Reuters
#Tanzania #HumanRights #JusticeForAll #democracy #FreeSpeech #EndAbductions ๐น๐ฟ

@TZMsemajiMkuu #FreePolepole
#FreeMdude
#FreeSoka
And the list goes on...
Mkiwatoa hao ndiyo mje na kiherehere cha kuwajibu Amnesty.
Nyie ni wachafu sana ๐ฎ๐ฎ
#freejohnheche #freepolepole #freemdude #freesoka #freetheactivists
Tanzaniaโs upcoming elections are being discussed everywhere - and not on a positive note. Those involved (wahusika) better act responsibly - no more bloodshed of innocent Tanzanians this October 29th. The whole world is watching. Even Financial Times has written about it, including our peaceful demonstrations in D.C. ๐๐ฝ๐น๐ฟ
Uchaguzi wa Tanzania ujao unazungumziwa kila kona - na sio kwa mtazamo mzuri. Wahusika wanaoongelewa, muwe na busara! Isivuje damu nyingine ya Mtanzania hata Oktoba 29. Dunia yote inatazama. Hata Financial Times wameandika, pamoja na maandamano yetu D.C. ๐๐ฝ๐น๐ฟ
https://t.co/UA07RW5aJV

Yeremia 17:7
Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.
Blessed is the man that trusteth in the LORD, and whose hope the LORD is.
Good Day ๐ป๐
#FreeLisu #FreePolepole #FreeMdude
#KataaWahuni
@MarekaMalili Mnampa kiki huyo mtu anaefurahia watu wakitekwa, uliwa, pigwa virungu, fungwa nk.
Sijui kwanini mnafanya ivo wakuu.
#FreeTunduLissu #NoReformsNoElection #FreeHumphreyPolepole #FreeMdude
@Roma_Mkatoliki Mungu akubariki wewe na Uzao wako kaka Roma.
Yaani hili song, kipande kifupi tu iko kimeweza kusimulate namna maandamano yatakavyokuwa na mambo gani wananchi tutakutana nayo barabarani.
#FreeTunduLissu #NoReformsNoElection #FreeHumphreyPolepole #FreeMdude
#MO29
Nawakumbusha Hili ni WIKI la Mwisho kutakua na VITISHO viingi na kujazwa Hofu na hawa Watawala..
Tuwe tayali kwa Lolote na Tusikubali Kurudi Nyuma, HAKI haiombwi Haki inapambaniwa. โ
Tusikatishwe Tamaa...
#HastaraVictoriaSiempere #โ
#FreePolepole #FreeDeusiSOKA #FreeMDUDE

2 Timotheo 1:7
Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.
For God hath not given us the spirit of fear; but of power, and of love, and of a sound mind.
Good Day โ๏ธ๐ป
#FreeLisu #FreePolepole #FreeMdude
#KataaWahuni

Waefeso 3:13
Basi naomba msikate tamaa kwa sababu ya dhiki zangu kwa ajili yenu, zilizo utukufu kwenu.
Wherefore I desire that ye faint not at my tribulations for you, which is your glory.
Great Saturday ๐ป๐
#FreeLisu #FreePolepole #FreeMdude #KataaWahuni

Last Seen Hashtags on Sotwe
JoeLocke
Seen from New Zealand
President_Paul_kagame
Seen from United States
PopSockets
Seen from United States
anxiouspandaa(**)(*)******** filter:videos since:2026-09-10
Seen from Argentina
ngintipmandi
Seen from Germany
goon
Seen from United Kingdom
sophievj
Seen from Italy
Mouna_Limam
Seen from Algeria
ู
ุนุตูุชููู_ุฑูุญูุชูู
Seen from Germany
incest indian
Seen from Israel
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers


















