Top Tweets for #jitihada
Kwa niaba,Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliojitoa kuchangia #Watoto/wadogo zetu katika kituo cha pale Morogoro.
#Jitihada zenu za dhati kuwasaidia na kugusa jamii kwa namna moja ama nyingine zimeleta manufaa kwa jamii. #UMEBARIKIWA..
MUNGU akaongeze maradufu...

✊🏾Reposted From @nickyrabit
*May You All Be Blessed,Kwa Pale Mtakapo Punguza.🙏🏾.*
#TanzaniaKwanza 🇹🇿✊🏾


@John_Pambalu @freemanmbowetz MUNGU ni mwema sana kamanda, Kiongozi wangu #jitihada zenu na chama kusimama njia moja bila kuyumba #Madai ya #KatibaMpya ndio haya matokeo yasasa hata 'watesi' CCM wanadhubutu kutamka madai ya #KatibaMpya jambo ambalo mwanzo walisema sio kipaumbele chao #KatibaMpyaNisasa✌️✌️
pikipiki zitakuwa zenu bali tutawapima kwa kazi mnazozifanya ndipo Afisa anaweza kupewa ikawa mali yake.
➡️#Jitihada zingine ni kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka shilingi bilioni 17.7 hadi shilingi bilioni 51.45, kuongeza fedha za uzalishaji wa mbegu kutoka (22/23)
#Jitihada Ikutane na Kudra za Mungu
Jumapili Tulivu
Wazazi, walimu, walezi, wajomba, shangazi, dada, kaka na hata mtu yoyote, zingatia kuwa sehemu ya #MaleziMakini kwa kuhamasisha watoto kujifunza #SifaNjema kama: #upendo #ushirikiano #umoja #kuwajibika #jitihada #kujali na nyingine nyingi
@scitanzania @ActionaidTz @SemaTanzania
#jitihada katika kuhakikisha huduma ya maji ipo kila mahali ni kati ya mipango endelevu ya Rais Magufuli.
Katika miaka 5 ijayo kasi zaidi itaondoa kabisa changamoto ya maji safi na salama katika kila kona ya Nchi.Ndio maana wananchi tunasema #MagufuliNiMafanikio
#MitanoYaUshindi

Kutembea kwingi ni sababu ya kujifunza mengi, na mwenye kufanya jitihada hafanani na aliekata tamaa hata mara moja
#AfricaTV2 #Methali #Kiswahili #Jitihada #Kujifunza

L
#JITIHADA ZA KUREJESHA SAFARI ZA TRENI YA RELI YA KATI TANGA KILIMANJARO NA ARUSHA ZAENDELEA. @tzrailways @WizaraUUM
Kuna mambo sita (6) ambayo ni muhimu kwa Waislamu kuwa nayo ili wafanikiwe katika jitihada za kuinusuru Dini ya Mwenyezi Mungu.
Kujua mambo hayo website yetu 👇
https://t.co/4KszcLdwTH
#uislamu #dini #mafanikio #jitihada #maendeleo #nusra #hatua #islamicftz

@VictorMcIvan @BUJO1 #JITIHADA kwanza na #IMANI ukiamini kupata na kukosa ndicho kitachotokea MUNGU sio katili kiasi hicho tuache visingizio tuna sababu ya kupata tuna MAHITAJI na eanaotutegemea Mwenyezi MUNGU Ana angalia JITIHADA Kwanza sio KUDRA tuu Umelala unasubiri
Soka la bongo bhana....
Msimu huu timu zitashuka 4,ili zibaki 16,na ligi dalaja la Kwanza zitashuka 8.
Wanafata matakwa ya mdhanini mpya....
Je,hii ni Afya ya Soka letu?
@Chinjaz @MnzavaC @MichaelMwebe

New hit alert!!!! @mansu_li amerejea na ngoma nyingine #JITIHADA na inapatikana hapa Mdundo 🔥🔥 Usikose kuipakua sasa: https://t.co/lyqve3nsPG
#NewMusicAlert #MdundoTZ

#newsongalert🚨🚨🚨
.
Biorn Ent. presents
#MansuLi
#JITIHADA
Prod by papatz
Artwork by vivagraffix
Link in bio @mansu_li
Kindly subscribe new youtube channel
"Official Mansu-Li" 🙏🏾 https://t.co/UKZX5g4kFL
Last Seen Hashtags on Sotwe
cockflash
Seen from Netherlands
teenageee()()***********
Seen from Turkey
男尊女卑
Seen from United States
BlueArchive
Seen from Malaysia
minichat
Seen from United States
blacked
Seen from Indonesia
المشاركة_الانتخابية
Seen from United States
madnesscombat
Seen from France
sisligAy
Seen from Turkey
minichat()()()()*+filter:videos
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



















