Top Tweets for #profjay
Si mtafurahi dada zangu jamani? "NDIYOOO" Basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio - #ProfJay
Hivi Mapambio sio Nyimbo? ๐๐ค #wetalkMusic

The most significant disclosure from Prof Jay today is that not enough is known about child exploitation in Scotland which exposes @RussellFindlay1 demands for a public enquiry as grandstanding and playing politics with the issue! There would be no witnesses #profjay
Legend wa Muziki Tanzania @professorjaytz kama baba wa kiwanda hiki cha burudani amepigia mstari kuwa #PlanetBongo ndio show namba moja Tanzania kwa upande wa burudani.
Sasa kama kuna mtu anabisha basi abishe pia na uwezo binafsi wa Legend #ProfJay
Powered by @yastanzania_ @rich_msafii @februaryomar @mauki_tz @jrjuniortz @officialdjdea
#PlanetBongo #EastAfricaRadio
Legend wa muziki wa bongo fleva @solothang_aka_ulamaa akielezea wimbo wake na wasanii #Afandesele #Profjay #Mtazamo kuwa maneno yao yanaishi mpaka leo.
@rich_msafii @piwamagic @februaryomar @mauki_tz
#PlanetBongo #EastAfricaRadio
Chukua hii kutoka the Lagend @professorjaytz kuwa kipindi anafanya ngoma yake ya #Kipisijasikia msanii @diamondplatnumz ilimbidi abubujikwe na machozi kufanya ngoma na #ProfJay pamoja na @majani187
@rich_msafii @piwamagic @februaryomar @mauki_tz
#PlanetBongo #EastAfricaRadio
Mke wa Legend @professorjaytz @mke_wa_profjize Amefunguka sababu ambazo zilisababisha #ProfJay kupost video siku kadhaa nyuma akionesha hali aliyokuwa nayo kipindi anaumwa.
"Maisha ya #Jay kwasasa yapo na Mungu sana sasa sijajua yeye kichwani mwake anawaza nini lakini vitu vyake vipo kama kawaida kama muziki,siasa vitu vya jimboni kama kawaida,vitu vingi vinarudi kwenye kuwa kama kawaida ila Mungu yuko mbele zaidi kwake'' @mke_wa_profjize
"Amepost ile picha maana ameuona ukuu wa Mungu ndio maana akataka watu wajue,kwa maana wengine hawakua wanafahamu ameumwa kwa kiasi gani na yapi ambayo amepitia'' @mke_wa_profjize
Source @bbcswahili
#EastAfricaTV #HainaKuchoka

Legend wa muziki @professorjaytz ameshare video hii katika ukurasa wake wa instagram akimshukuru Mungu kwa yale aliyopitia kipindi cha ugonjwa wake mpaka sasa akiwa anaendelea kurudi sawa kiafya.
#PROFJAY Ameandika katika IG yake................."Sifa na utukufu narudisha kwako Mungu Baba, Nakushukuru sana kwa mapito niliyopitia na umenivusha salama๐๐
Sina la kusema zaidi ya kukushukuru kwa kuwa natambua kwamba Utajiri wa kwanza ni kuwa na Mungu,
Utajiri wa pili ni kuwa na Afya njema,
Utajiri wa tatu ni kuwa na watu,
Na Utajiri wa mwisho ni kuwa na Mali.
Nitakusifu na kukuabudu siku zote za maisha yangu, AMEN๐๐๐''
โ๏ธ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
DAR ES SALAAM: โAsante sana Mungu kwa Zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za Maisha yangu, Nipo kamiligado tayari kwa Mapambanoโ๐พโ๐พโ๐พโ๐พ
#KataaUtekaji
#maskanikimara ameandika Joseph Haule #profjay
#HabarileoUPDATES @ProfessorJayTz

#TBT @shneida_infos anaamini Mtanzamo ya @afandesele_king @ProfessorJayTz na @solothang ni moja ya ngoma bora za HipHop za muda wote Tanzania.
Uandishi โ
Flowsโ
Punchlineโ
Ujumbeโ
Chemistryโ
Idea ya wimbo ๐ฏ
Vuta kushoto kusikia na kuona michano ya #ProfJay na #AfandeSele
Verse ya msanii gani ilikukosha zaidi?
#TBT #HipHop #Muziki #Tanzania #ProfJay #AfandeSele #SoloThang @shneida_infos

"Sauti imebadilika kwa sababu nilitobolewa koo, nilikuwa nina uchafu kwenye mapafu" - @professorjaytz
Interview nzima ya #ProfessorJay ndani ya Friday Night Live tayari ipo Youtube ya #EastAfricaTV.
#FridayNightLive #FNL #ProfessorJayTZ #ProfJay

#BURUDANI Mkongwe wa muziki Tanzania @professorjaytz wasanii wengi hawawekezi kwenye muziki wanatamani kuwa kama #DiamondPlatnumz #Alikiba na #Harmonize.
#FridayNightLive #FNL #ProfessorJayTZ #ProfJay
#BURUDANI @ProfessorJayTz ameshea nasi tathmini yake juu ya muziki wa BongoFleva ambapo anasema ubunifu umepungua na ladha ya BongoFleva imepotea.
#FridayNightLive #FNL #ProfessorJayTZ #ProfJay
#BURUDANI The Heavyweight MC is Back ๐ช
Tegemea kumuona @professorjaytz kwenye ziara yake ya muziki na afya ambayo itazunguka mikoa yote ya Tanzania baada ya kutangaza hilo ndani ya Mahakama Kuu ya Burudani Friday Night Live.
#FridayNightLive #FNL #ProfessorJayTZ #ProfJay
Nimesikiliza mahojiano yako mkuu hakika umepitia mitihani mingi nimeumia na ushuhuda katika nyimbo yako ukielezea hali uliyopitia kwa zadi ya siku 400.zNimeumia zaidi pale niliposikia sauti yako ambayo imebadirika kabisa.Mtumaini Mungu na yeye hatakuacha Jay.
Zab:23:1-5
#ProfJay

#BURUDANI Producer BinLaden 255 ameiambia #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio jinsi alivyojiskia baada ya @ProfessorJayTz kumtaja kuwa ndio Producer Bora wa HipHop w kizazi hiki.
#PlanetBongo #Muziki #HipHop #ProfJay
@Officialcocobeb Sheikh anapozini usiseme uislam haufai/
Padre anapobaka wakatoliki hatukatai/
#ProfJay ๐ช
Last Seen Hashtags on Sotwe
snapchattt(())filter:native_video within_time:30m
Seen from Thailand
settingchallenges2024
Seen from United States
mgai(*) + filter:native_video
Seen from Canada
snapchat
Seen from India
tรผrk kฤฑz ifลa
Seen from Turkey
brosis
granny videos
anxiouspanda
Seen from Australia
izumomo
Seen from United States
Femboy
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers









