Top Tweets for #rapcha
From : Tanzania
Title : Tamaa
Artist : Rapcha ft Timitee
URL: https://t.co/rvtJsIYcP6
#tamaa #rapcha #timitee #tanzaniamusic #trendingafrobeats
New Music This Week (SEP 5)
Polite-#AceReezy
Maita Maigana-@iborian_dj
Yeeeh-#Rapcha
Top Gear-@8thstreetgang
I'm Hart-@RapkinMusiq

Homeboii ametisha sanah humu ๐๐
๐USICHUKUE SIFA ZA MUNGU
#Rapcha

Kama unamjua msanii huyu mtag kwenye comment.
#PlanetBongo #Rapcha #BongoRecords #PFunkMajani @rich_msafii @piwamagic

โจBOOMFRESHโจ
@rapcha_tz anakukaribisha kwenye dude lake jipya la #DangerousDesire ๐๐ฅ
Stream wimbo huu mpya kwenye app ya Boomplay hapa โถ https://t.co/vTc52lLbdd
#BoomFresh #HomeOfMusic #Rapchaย #NewMusic

โ๏ธ๐๐๐๐๐๐๐...!
Mwanamuziki Wa Rap Nchini ๐น๐ฟ #Rapcha Amethibitisha Kuachana na Aliyekuwa Msimamizi wa Kazi Zake za Muziki #PFunkMajani na Sasa Wapo Kama Familiaโฆ!
Kupitia #CrownFM Rapcha Amesema Amemaliza Muda Ambao Walikua Wanafanya Kazi Lakini Bado ni Familia Yake,


Darasan tulikuwa wanafunzi 99 tu,na 2019 tukamaliza form SIX tukiwa 99, whatsap group ikaitwa WANANGU 99, baadae msanii #Rapcha akaibuka na code hyo, pakaibuka mjadala kat yetu na Rapcha nani founder coz Kuna mwenzetu ni rafik mkubwa wa Rapcha, Tuachane na hayo Tumebak 98 sasa ๐
Kutoka Mafinga changarawe Sec, na baadae UDOM Pamoja, Leo nasikia Bodaboda imeondoka na uhai wako classmate, HERIELI MBOWE tumemaliza chuo 2022 unapata kazi, katikati ya kilele cha kufurahia jitihada zako roho yako inazima, nisije kufuru Bure,
Fly with smile shine in the sky ๐

โจBOOMFRESHโจ
Ni @rapcha_tz kwenye new vibe akisema #Low ๐๐ฅ
Stream wimbo huu mpya kwenye app ya Boomplay hapa โถ https://t.co/WQrqO3biei
#BoomFresh #HomeOfMusic #Rapchaย #NewMusic

#BURUDANI Producuer wa muziki @masterjtz ameshea nasi Experience ya kuwa 'Video King' baada ya kuombwa na mshkaji wake #PFunkMajani kushiriki video ya #Rapcha 40 Missed Calls.
#eNewz
@dizastavina @outfits_mr @Outset_Of_Omega @PanAuthentik Respect over ua hustle is on top notch'
Hizi mbanga za mashabiki kwa wasanii zao ziache tu humu' nothing personal ni challenges tu tunazopeana sisi kila mtu akivutia upande wa msanii wake' na sdhani kama kila kinachosemwa na shabik wako against #rapcha ni true..jus play ua game..
#BURUDANI Champion P Mawenge amefunguka issue ya bifu la rappers #DizastaVina na #Rapcha ambalo anadhani limesababisha verse ya Rapcha kutokuwepo kwenye ngoma ya 'Underrated' ambayo yupo Dizasta Vina.
#PlanetBongo
#BURUDANI On #TheCruise ya #EastAfricaRadio Tony Sixteen amefananisha lilivyotokea bifu la #DizastaVina na #Rapcha kama rapa wa Marekani na #50Cent na #FatJoe ambao wameliza bifu lao kwa sasa.
#TheCruise #HipHop #Rap #50Cent #FatJoe #DizastaVina #Rapcha
Hii 40 Missed Call ya #Rapcha Chupa lake kali sana hii ni MOVIE ๐ฅ.Nimependa @masterjtz alivyovaa uhusika na Zaylissa. Kiukweli ni bonge la chupa. Haijamaliza hata Dakika 10 toka liwekwe youtube. Nenda kalichek. @P_Majani ๐๐ฟ
https://t.co/zoWVZjya0C
Hakuna cha kupoteza Maana tumezaliwa hatuna so we donโt Kissโฆโฆ For your info๐ต#Rapcha
#BURUDANI @rapcha_tz amefunguka kuhusu ukusanyaji wa mirabaha kwa upande wa msanii na producer, kwa upande wake anaona producer ndiyo inabidi akusanye hela nyingi kuliko hata msanii.
#PlanetBongo #EastAfricaTV #Rapcha
@rapcha_tz TO THE TOP VOL.2 #rapcha #album kali kinoma ila maua yangu yapo kwa ngoma ya salma tu oooiiiiiiii dah tamu kinoma mpaka sijui niiishie wap kwenye playlist maan nailudia kam mara ya 15 hiv
Last Seen Hashtags on Sotwe
เธเธฒเธขเนเธเนเธเธตเนเนเธเธตเนเธขเธ
Seen from Thailand
gtastripclub
Seen from Qatar
robloxsex
Seen from Turkey
gaypublic
Seen from United States
ุฏููุช_ุฃุฎุชู
Seen from Algeria
bwc
Seen from Greece
latina
Seen from Singapore
brosis
Seen from United States
เธเธฅเธดเธเธซเธฅเธธเธเธเธฑเธเนเธฃเธตเธขเธ
Seen from Vietnam
minichattttt
Seen from India
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers















