KIGOMA! KIGOMA! KIGOMA! KIGOMA!
Leo tunakutana kwenye viwanja vya Soko la Bitale, kumlaki mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini ndugu Kitentya Luth ambaye atakuwa sambamba na Mgombea Urais ndugu Yeremia Kulwa Maganja.
#UtuItikadiYetu#pamojatutashinda#uchaguzi2020#kigoma
Haya tunafanyiana upinzani kwa upinzani, @ACT wanafanya siasa za chuki Sana Kigoma. Kubandika mabango juu ya mabango ya Mgombea wa @nccrmageuzihq ndugu @WistonMogha. Huu Ni uhuni na haukubaliki tunaomba @TumeUchaguziTZ na @PolisiTanzania kuingilia.