Mgombea uraisi kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI mh Yeremia kurwa maganja akiwa katika mkutano wa kampeni jimbo la kigoma mjini ambapo pia alimnadi na kumuombea kura mgombea ubunge jimbo la kigoma mjini ndg wiston andrew mogha @nccrmageuzihq@YeremiaMaganja@WistonMogha @bernMembe