@MariaSTsehai Hivi ikitokea maandamano ya Amani afu na wao wakayakubali wakatoa polisi kusindikiza waandamanaji hivi tutatoboa kweli ? Maana Wtz wengi mpaka watoke ndo wale .si itakuwa uzururaji . maandamano ni kama Nepal ilikuwa nyumba kwa nyumba
@privaldinho Kwan team aziruhusiwi kulipa cash bila kulimbikiza madeni VIP Kwan Azam si anatoa hela kwa Kila team na si zinapitia tff VIP kama wengine walichangua wakatwe hizo au ndo ukiwa team hyo basi automatically zinapungua kichwan
@YerickoNyerereT Wote wanapendwa.umetaja diamond nan anamshinda kwa kwa na watu wengi wanaomkubali ,ukija Simba na yanga hizo ndo kabsa ,mwamposa anapendwa na waumini wengi Sana WA upande wake .ila SASA nenda ww na watu wako uone kama utapokelewa Sisiem wenyewe wanaenda bus kila mkutana walewale