Najua Dab anajua au hajui inakuja siku ambayo atapoteza hyo connection yote aliyo nayo, and life will never be the same to him anymore.
The day is coming but it will take years to happen.
@Maestrowafact Ibara ya 57(2)
Inasema kwa maana ya kikatiba kwamba, mawaziri wanaendelea kushika madaraka yao hadi watakapoteuliwa wengine baada ya uchaguzi, hata kama bunge limevunjwa.