If you don't do anything, nothing will happen... So what's the point in just lagging behind afraid of what could happen if you do it!! At least DO SOMETHING!!! #wakeup#wakeupandmakeup… https://t.co/C5lWj1u7Gv
Nimekutana na mjadala mkali wa usawa wa kijinsia kwa msafisha viatu: “Nimemsomesha mtoto wangu wa kike kwa mbinde. Sikuwa na maisha na mpaka leo sina hata chumba nilichojenga mjini hapa lakini nilifunga mkanda mwanangu apate taaluma,” analalamika mzee mmoja anayeonekana anajiandaa kustaafu.
“Mtoto ana uwezo mkubwa na alifaulu vizuri na alikuwa tayari anafanya kazi. Katuambia anaolewa tukafurahi. Tumemuoza. Kituko mume hataki mke wake afanye kazi. Kamwachisha kazi.”
“Hebu nishaurini nifanyaje? Kumwachia huyu mtu aamue anavyotaka ni sawa? Hata kama ana uwezo wa kutunza familia na mambo ya ndoa ni ya watu wawili, mimi niliyemsomesha mtoto sitakiwi kusema chochote ninapoona mwanangu anageuzwa kuwa mama wa nyumbani? Nikisema ninakuwa naingia ndoa ya watu?”
Naona masuala ya usawa wa kijinsia katika jamii yameanza kutugusa hatua kwa hatua. Mazingira kama haya anayokabiliana nayo mzee wangu yanafanya hasara za mfumo dume zieleweke vyema katika ngazi ya familia.
Securing Tomorrow; Empowering Youth for Financial Growth and Freedom✅
Ongoing Financial Literacy Event at Sokoine Univesity of Agriculture (SUA). The event has been organized by Unoted Nations Chapter of SUA in collaboration with SUA students organization!
#financialfreedom
@airtel_tanzania@airtel_tanzania natumia router yenu hii, ila mtandao ni very poor hadi naona napoteza pesa yangu niliyonunulia na ninayoilipia kila mwezi!
As we celebrate the International day of girl child, let’s remember that every girl, regardless of her background, deserves the opportunity to dream, learn, and achieve her goals.
Tulipata fursa ya kutembelea wanakijiji cha Ruvuma, kata ya Mlimani mkoani Morogoro.
Tulizungumza nao kuhusiana na Umuhimu wa Elimu kwa watoto, Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kuweka na kutimiza malengo, vijana kujitambua na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kusimamia ndoto zao.