..wakapiga makelele, eti kikao cha familia ni BATILI, na pia Eti hakunaga kikao cha MPANGAJI na MWENYE NYUMBA bila idhini ya wale ndugu wanaokaa pale...
Nashangaa Mzee Erick yupo kimya kama hajasikia hizo kelele na matusi ya wakaaji waleeee
Siku moja Mzee Erick alifanya kikao na Mpangaji wake, Mzee Said, wakakubaliana mambo machache. na Baadaye Mzee Erick alikaa na watoto wake kuwapa maneno yale walioongea na Mzee Said mpangaji.
Sasa wale Ndugu za Mzee Said waliposikia kuwa Mzee Erick ana kikao na Familia,....
Mzee Erick amejenga mitaa ya Chamazi lami kabisa, na katikati ya mji, nyumba ya Mbele ameweka MPANGAJI ila yeye na Familia yake wanaishi nyumba ya Uani.
MPANBAJI, Mzee Said haishi hapo, ila ameweka ndugu wakae hapo, lakini Mzee Erick na Familia yake wanaishi hapo.
@EfmTanzania@rollymsouth@rollymsouth dawa ya rushwa ni watoa huduma wafuate utaratibu, sisi tutafuata tu... wakizingua maana yake nitoe nihudumiwe fasta
Hongereni vijana wetu wa Taifa Stars kwa kufuzu michuano ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (2023 Africa Cup of Nations). Mmeandika historia kwani hii ni mara yetu ya 3 kufuzu tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nawatakia kila la kheri.
CAF: SHANGWE TUPU, TANZANIA YAFUZU KUCHEZA AFCON
Timu ya Taifa ya #Tanzania “Taifa Stars” imeandika rekodi nyingine ya kufuzu kucheza michuano ya Afrika kwa mara ya tatu baada ya kuilazimisha #Algeria matokeo ya 0-0
Tanzania ambayo ilishiriki #AFCON Mwaka 1980 na 2019, imekamilisha michezo ya Kundi F ikiwa na pointi 8 nyuma ya Algeria yenye pointi 16 ambayo nayo imefuzu, #Uganda ina pointi 7, Niger imeshika mkia kwa kuwa na pointi 2
Michuano ya AFCON inatarajiwa kufanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini #IvoryCoast
Soma https://t.co/LxCsmyiqNH
#JFSports #JamiiForums