#SikilizaTogolani kwa vijana tulioanza maisha ya kujitegemea huna chochote cha kutuasa kama wosia kutoka kwako ama kwa waliokutangulia.... @tonytogolani
@oku_yungx Imagine you have 2 cookies, and you can either give one to your friend or eat both yourself. If you eat both, the opportunity cost is the fun you would've had sharing with your friend 😊.
You chose to eat both cookies, so you gave up the chance to make your friend happy.
Are you from 🇹🇿🇧🇮🇰🇲🇸🇨🇨🇩, looking to study in 🇮🇪 for the 2025-2026 academic year?
The Ireland Fellowship Programme offers future leaders the opportunity to apply for a funded 1 year Master’s level qualification in 🇮🇪.
For eligibility criteria & more ➡️
https://t.co/z2uzxaDFNP
ZAKAATUL FITWRI (ZAKAATUL FITRI).
📌 Maana ya Zakaatu al-Fitwri.
Tuangalie kwanza maana yake kilugha:
• Neno "Zakaatu" kwenye kamusi la lugha ya kiarabu lina maana ya "Usafi, Ukuaji na Baraka".
Na neno "al-Fitwri" lina maana ya "Kukifungua kitu na kukiweka wazi".
• Ama kisheria Zakaatu al-Fitwri maana yake ni:
Swadaka yenye kiwango maalum, anayoitoa kila Muislamu kabla ya Swala ya Eid, hupewa watu maalum.
📌 Tunakaribia kumaliza kufunga swaumu mwezi wa Ramadhwaan, kuna ibada muhimu inayotukabili kabla ya kuswali Swala ya Eid, nayo ni ibada ya kutoa Zakaatul Fitri.
Ni wajibu kuitekeleza ili tukamilishe Swaumu zetu ipasavyo na tupate fadhila zake.
📌 Nini makusudio ya Zakaatul Fitri na nini hekima yake?
1. Muislamu anayetoka kufunga mwezi wa Ramadhwaan anatakiwa amalizie funga yake kwa kutoa Zakaatul Fitri kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu ya kumuwezesha kutekeleza ibada ya Swaumu.
2. Zakaatul Fitri itamsafisha mwenye kufunga kutokana na maovu ya ulimi aliyotamka kama maneno machafu na ya upuuzi.
3. Zakaatul Fitri humuepusha Muislamu na ubakhili.
4. Zakaatul Fitri pia itawaepusha masikini na mafukara kutokana na kuomba siku ya Eid.
Hayo ni kutokana na kauli ya Mtume Muhammad (rehma na amani ziwe juu yake):
Kutoka kwa Ibn Abbas (Radhiya llaahu 'anhuma) amesema:
"Mtume wa Allah (swalla llaahu 'alayhi wa sallam) ameifaradhisha Zakaatul Fitri kwa ajili ya kumsafisha aliyefunga kutokana na maneno ya upuuzi na machafu, na kwa ajili ya kuwalisha qmasikini. Atakayeitoa kabla ya Swala (ya Eid) basi itakuwa ni Zaka iliyokubaliwa, na atakayeitoa baada ya Swala (ya Eid) basi itakuwa ni Swadaka."
- Abu Dawud
📌 Hukumu yake: Zakaatul Fitri ni Faradhi (yaani ni ibada ya wajibu/lazima kuitekeleza kwa kila Muislamu).
Zakaatul Fitri ni faradhi kwa kila Muislamu, mkubwa na mdogo, mwanaume na mwanamke, aliye huru na mtumwa. Hii ni kutokana na Hadithi sahihi ifuatayo:
Kutoka kwa ibn 'Umar (Radhwiya llaahu 'anhuma) amesema:
"Mtume (Swalla llaahu 'alayhi wa sallam) ameifaradhisha Zakaatul Fitri kwa kutoa pishi ya tende au pishi ya ngano (ni wajibu kutoa) kwa mtumwa na aliye huru, mwanamke na mwanaume, mdogo na mkubwa katika Waislamu."
- Bukhari
Kwa dalili hii, ni dhahiri kwamba Zakaatul Fitri lazima iwe ni chakula, sio pesa. Hivyo lazima tutekeleze ilivyoamrishwa katika Sunnah. Hivyo nunua pishi moja ya chakula chochote kinachotumika na watu katika nchi yako mfano mchele au ngano.
✍️ Pishi moja ni sawa na kilo mbili na nusu.
Kwa hiyo, ikiwa pesa zako utazitoa ili zinunuliwe aina ya hiyo ya chakula kinacholiwa zaidi kwenye mji wako, kama vile mchele, basi hakuna neno kama hizo pesa zitanunuliwa mchele na kisha kugaiwa kwa wanaostahiki.
Hivyo ni wajibu wa kila Muislamu atoe Zakaatul Fitri kwa ajili yake na kwa ajili ya familia yake na wote waliomo katika jukumu lake.
📌 Nani apasaye kutoa Zakaatul Fitri?
Yeyote mwenye uwezo na hata mwenye kumiliki chakula cha siku moja ajitolee mwenyewe pamoja na watu wake wote ambao wako chini yake kama vile mke, watoto na wazazi ambao hawana kipato.
Ikiwa mtoto amezaliwa baada ya kuzama jua usiku wa kwanza wa Eid, (yaani siku ya mwisho ya Ramadhwaan), naye inapendekezwa kumlipia kwa sababu Swahaba 'Uthmaan (Allah amridhie) alifanya hivyo, ingawa sio lazima.
📌 Nani apokee Zakaatul Fitri?
Ingawa Wanazuoni wengine wameona kuwa ni sawa na watu wanaopasa kupokea Zaka ya mali, lakini kauli iliyo sahihi kabisa na inayokubalika zaidi ni kwamba itolewe Zakaatul Fitri kwa Masikini na Mafukara pekee.
📌 Wakati gani wa kuitoa Zakaatul Fitri?
Wakati unaopendekezwa zaidi ni kuanzia Magharibi ya siku ya mwisho ya Ramadhwaan hadi asubuhi kabla ya Swala ya Eid.
Pia inaweza kutolewa siku moja au mbili kabla ya Eid, kama ilivyokuja dalili kwamba:
"Walikuwa (yaani Maswahaba) wakitoa (wakiwapa masikini) kabla ya Eid kwa siku moja au siku mbili."
- Bukhari
Haipasi kutoa baada ya Swala ya Eid kwani huwa si Zaka tena bali huwa ni swadaka.
INAENDELEA...⬇️
TAFADHALI REPOST na LIKE, ili faida iwafikie wengi.
@Sirjeff_D Huruhusiwi kunufaika na fedha yeyote ambayo chanzo chake ni haramu mfano ukimpangisha fremu ya kuuzia nguruwe ilhali wewe huli hiyo nguruwe basi ile pesa iliyopatikana kwa kumpangisha ni haramu
Mwaka haukuisha vizuri kwangu na madeni ya Tin no ya biashara, lessen na Kodi ya pango la biashara na nyumba ya kuishi. Vimefanya niishie hivi Sina tumain la kuendelea nawaza kufunga ila nikipata hiyo 500000 ntaendeleza biashara yangu maana sjavuka na deni nililipa yote🙏🙏🙏🙏
Hizi hapa zawadi wanapenda zaidi wanaume:
Watches
Cars
PC
Shoes (study ujue his fav kind of shoes)
Set of PS5
Buy him a new set of sofas
Buy him 🏡
Give him kids (very important)
Take him out (vacation).
Nimesahau nini!?
The Auditor General's Special Audit Report on Supplementary Budget Expenditure tables interesting findings & proposals.
This report follows a request from the Public Accounts Committee for a special audit of 2022/23 expenses under Article 223.
Some key highlights 🧵
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia
1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende
. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.
Uwe na siku njema
Uwekezaji huu wa Mkongo wa Baharini wa Mawasiliano wa Airtel 2Africa na Teknolojia ya 5G kutoka @airtel_tanzania ni nguzo muhimu katika uchumi wa kisasa, uchumi wa kidijitali.
#KaziIendelee