@ahmed__ally Pamoja na hilo inapokuja usajili wa wachezaji inawabidi kusajili kimkakati na siyo kusajili kwa kuwaangalia uto! Mfano mlimsajili mzungu yule kwa malengo gani? Kwamba mnashindana na uto ama mnataka mataji? Mnasajili ili muonekane mmesajili ama mnasajili ili iweje?
@Jambotv_ Tuna Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) hatuna askofu mkuu wa dayosisi au mngesema mkuu wa dayosisi ila siyo askofu mkuu wa dayosisi