@IAMartin_ Mwiguru nchemba nakuomba Jenga matoll geti Kila Kona gari za kigeni kupita Dola 100 kila gari utapata era nyingi sana na nyingine tutazipeleka mashuleni hakika kuna era nyingi sana tunaziacha na barabara zetu zinaalibika baada ya miaka 10 tunabakia na mashimo tupu
#Tanzania
Ktk muungano kuna nchi 2
Tanganyika na Zanzibar
๐๐ฝZanzibar wana serikali yao na ile ya muungano - Federation
๐๐ฝTanganyika - hatuna ya kwetu tuna Muungano tu - unitary state
Sasa tuamue tuwe federation (serikali 3 - Tanganyika tuwe na yetu) au unitary (serikali 1)
#TutaelewanaTu
@mishalymish Siko hapa kupinga kuchangia Kwa mishely Ila nakumbka mara mwisho alipelekwa India kupitia #giftedheart inayosimamiwa na @malisa_gj1 sasa hapa inatia shaka je ni kweli huyu ni muhusika au ni parody linataka kupiga pesa kupitia hali ya mishely?
Msanii/mbunifu wa maudhui mitandaoni na mchekeshaji maarufu kwa jina la Mwaisa/Nyonyoma ameonesha kutofurahishwa na club ya @SimbaSCTanzania kutumia ubunifu wake kwenye kaulimbiu ya #unyamamwingi bila idhini yake/kushirikishwa kwa kuandaa maudhui ya namna hiyo kwenye post yake.
@lifeofmshaba@GodemaE Mkuu nakushauri tu, ekima na uelewa havina uhusiano ila tumia mojawapo ya neno hilo.
Hii tweet imekuja kama swali siyo maelezo ya taarifa, kwa kifupi ametaka kujua, so hata kaka weqe ndiye source of story na unakuja na hasira, ujue kabisa umeingia chaka ๐!.
@EduTalkTz Hivi unafikiri hao wate walioshauri na kushiriki kwa namna 1 au nyingne kwenye hii mikataba mibovu wangekua wananyongwa hadi kufa kwa hasara zinazosababishwa na hii mikataba mibovu unafikiri wangekubali kuingia dili za kipuuzi hivi?wangekua wanawajibishwa leo dp asingetusumbua
Maalim Baswaleh bado yu taabani Aghakan Hospitali.
Juzi nilipokwenda kumjua hali alikua ametolewa ICU yupo wodini.
Leo nimekuta karejeshwa ICU.
Tumuombee dua Mwenyezi Mungu amuondolee maumivu mazito na amponye kwa rehema zake.
@gwangwayyohani Hawa hawawezi kuwa na majibu ya maswali magumu kwa kuwa hizo tobo za mikataba huwa ni dili zinachezwa na walioko ofisini dhidi ya wawekezaji.
Ili ukimtoa mwekezaji huku hajapenda,apate tobo la kupata fidia.
Dili hizo zishapigwa,Prof hawezi kuwa na majibu hapo.
Said I loved you but I lied
'Cause this is more than love I feel inside
Said I loved you but I was wrong
'Cause love could never ever feel so strong
Said I loved you but I lied
Ukizunguka kwenye Miji yote ya Tanzania, lazima utakuta Nyumba Za NHC, kibinafsi hizi nyumba mimi huwa zinanikera zana. Mijengo ya kizamani, imechoka na hiipendezeshi miji yetu.
Nashaur serikali ikimalizana na Bandari itafte Mwarabu mwingine aliyezubaa zubaa huko dubai tumpe.
G'morning Madam President @SuluhuSamia
Mmefanya majaribio mengi kuuzima mjadala wa Bandari hamkuweza.
Hii vita mnayotaka kupigana sasa ni vita ya kufa na kupona. @TunduALissu ni Mboni ya jicho letu la kulia,safari hii ni ama zenu ama zetu.
Mmezoea kutesa na kuua watu bila hatia
@Sisimizi3 Kajamaa kalipigwa kashkash pale efm watu walikahurumia sana sema sasahv kameunga juhudi maana kalikomeshwa! Kama ndo tafiti yake inamwambia hivyo basi anapaswa kufaham amezidiwa umri na viongozi wakubwa wote wa nchi hii! So na wao maarifa ya kuliwaza hili na mengine umepungua