HATIMAYE CCM WAIUZA RASMI BANDARI YETU YA DAR ES SALAAM ๐ญ๐ญ
Na Bunge linatumika kuhalalisha Bandari yetu ya Dar es Salaam kuuzwa kwa Serikali ya Dubai.
Kampuni ya DP Wolrd inayomilikiwa na Serikali ya Dubai itapewa kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam kwa muda wa Miaka 100
#Tips
Uoga ulionao ni aina ya gereza ulilolichagua wewe mwenyewe. Kwakua umeriruhusu basi limefunga kila aina ya hatua na vitendo vyako.
Kadri unavyokuwa na uoga kidogo ndivyo unavyokuwa na nguvu nyingi na utaishi kwa utoshelevu. #Husler
@MalemboIntern
@MalemboFarm
Investing in pig farming offers a unique opportunity to tap into a lucrative market with a high demand for pork products, ensuring long-term profitability and growth.
@MichaelMwebe Kwa mpira wa africa swala la final mbili haliepukiki , inaweza chaguliwa venue ya final alafu mwisho wa siku mwenyej akafika final , hata ucheze uchi hutoboi, ache tuendelee kupeana equal chances, kipige huku na kule
CAF wanasema (nanukuu): โYanga inakuwa timu ya kwanza ya Tanzania kucheza fainali ya CAF iliyodhaminiwa na TotalEnergies lakini ni ya pili kwa Tanzania kushiriki fainali ya CAF kwa ujumla baada ya mahasimu wao Simba SC kufanya hivyo mwaka 1993โ
Link๐๐ผ https://t.co/JgzxtyZf8M
Dear @yangasc1935 hongereni ila tuweke historia sawa
Timu ya kwanza ya ๐น๐ฟ kuwa mshindi wa pili katika Kombe la Afrika (CAF) ni Simba @SimbaSCTanzania mwaka 1993
Haiwaondelei ushindi wenu mwaka huu 2023 ila #Facts are facts
Jumapili njema wapendwa
๐๐๐ฝ
@MichaelMwebe Ikiwa kwako n point ikiwa kwa wengin sio point?? It doesn't work like that, walikosa penalty dakika za mwisho kabisa, it wasn't about Mamelod wala al ahly.. wamejifelisha wenyewe, hata next season kama watafanikiwa kushiriki bado inajulikana watatoka hatua ipi, endless circle
@MichaelMwebe Mbona simba kacheza na Al ahly mara 2 na katoboa??
Hao jamaa ni viaz, mfano safari hii, ameshindwa kufuzu kwa uzembe wake sio kwasababu ya Al ahly wala memelod