@PresenterNoah Sasa Noah wew hayo matukio ya refa kuzingua kama angekua ametenda haki unadhani ungeandika haya? Refa kaamua tufungwe mechi ya leo hakuna cha Hard feelings ifike wakati marefa hawa wafungwe pingu baada ya mechi wasweke ndani .
Bahasha imetuua
Haya twende tukamwangalie Marino
Yule Twiga wa Tanesco toka alivyotoweka jana mchana mpaka leo hajarudi, kwa kifupi hajalala home🤦🏽♂️. Alirudi usiku kwa style ya Miso Missondo akapotea tena mazima😡
Kuna ratiba ya mgao Tanga, halafu kuna kukatika kwa umeme nje ya hiyo ratiba. Mfano Donge kuna katabia Ka umeme kukatika katika hovyo kuanzia saa tisa usiku, tena hii ipo kabla hata ya ratiba za mgao, sijui shida ni nini?
@JMakamba@ummymwalimu@tanescoyetutz#Donge#Tanga
@Jackson0255@AnnaTibaijuka@JiniKinyonga Angesema anataka bint kutoka Jamii Fulani, Dini Fulani, Kabila Fulani, au aliyemaliza Shule Fulani. Huo ndio ungekuwa Ubaguzi, ila kigezo ni Ufaulu mzuri wa Dvn 1. Wapo wenye ufaulu huo ila familia haina uwezo, au kwasababu 1 au nyingine hakuweza kuendelea.
Bora amesema regardless mtamkosoa kiasi gani, upotoshaji umekuwa mwingi sana, tatizo ni la Dunia nzima lakini wapo tayari waliosema TCRA na Serikali kwa ujumla wamehusika.
@HilmiHilal88 Kinachosikitisha rais wa sasa ni mzanzibar mwenzao lakini sioni hata kama anawafikiria hawa masheikh!!! yaani haoni mfano hata wa mwendazake alipoingia tu fasta akamtoa swahiba wake babu seya bila kujali chochote
@MtotoElizabeth@rollymsouth Sasa Kama mtu kajirekodi mwenyewe au na mwenzake je unataka wazee wa connection tufanyaje? Tusiangalie ama 🤔....maana unaingia kwa group unakutana na mzigo mtamu, unafanyaje kwa mfano🤷🏾♂️
@MtotoElizabeth@rollymsouth Mkubwa kwani zile Pilau Movies kazi yake Nini, wewe ukijirekodi au kurekodiwa Wana kitaa (Wazee wa Connection watataka waone)😂😂😂😂
@JideJaydee Jamaa wanazifyonza haswaa uwe umezima data au hujazima. Tena tunakoelekea watatuambia mpaka ndoto tunazoota tunatumia data. Utafikiri bomba la Maji limepasuka.