@BanzaBiashara@ManenoIzaak Unadhani hao watu mnaowazungumzia wanatoa wapi pesa ili kuwapa misaada? Ni pesa za watu wao zinatakiwa zirudi, zitarudi vipi na nyinyi mnaopewa lazima mchangie ili next time mpate tena. Sasa ili kukwepa haya yote CCM inatakiwa ibadilike au iondoke.