@PatrickJAssenga Kuwafanya viongozi kuwa hawafikiki na wako out of reach ndiyo kinachodororesha uwajibikaji na kuchelewesha maendeleo. Watu wawe na haki ya kudai maelezo
@Officialnjuga@tzrailways Magufuli nadhani imepewe Station 1, Daresalaam. Haya yatabaki kuwa kwenye makaratasi tu, ni ngumu kubadili jina la stesheni ya mkoa kuwa jina lingine.
@SukumaIcon@ngodajr@fumbokhanJr Ni imani ya dini za asili isiyo uislam wala ukristu. Ni tofauti na atheism ambayo ni ukosefu wa imani juu ya dini wala miungu yeyote ile ikiwemo upagani.
@ngodajr@fumbokhanJr Imani yoyote ilivyo nje ya Abrahamic ni paganism. Imani za asili ni upagani, hata hizo Christianity na Islam idea nyingi wamekosa kutoka paganism. Paganism ndiyo imani kongwe kabisa duniani.
@dreamer130401@Phbhimself Yaani anazunguuuuka maelezo mengi yasiyo na msingi, mwisho wake anaonekana mjinga kwa kutafuta sababu isiyo sababu. Kazi ya sex ni moja tu, reproduction.